Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #61
Panda milimaWe kwenye uandishi ni hamna bora tu ukomae na mapishi.
Panda milimaWe kwenye uandishi ni hamna bora tu ukomae na mapishi.
Duh laki tanoNdio maana wanywa pombe kila siku tunawadharau hivyo unatokaje huna hata laki tano mfukoni?😅😅😅
Napiga vibayaMfundishe mtoto wako kuwa mvumilivu na uende ukamnunulie hicho cha buku mbili.Mtoto akiwa mbishi na kulialia hovyo,mpe kwenzi la kispoti aache ujingaujinga.
Wa mkoan vipWazazi wa dar😎😎
😂😂😂 nime chapiaKuna paja la uso na ni Mwachi analijua peke yake na hatuambii 😅😅😅
Afu nilivyo chizi naweza mtongoza kweli, akishangaa inakuaje, namuambia mbona dunia inajua mie ba tamu wangu ni wee? Sasa tufanye kweli km waja wanavyodai.Kikubwa kuwa sugu tu😁
HongeraNimewafundisha vyema watoto wangu!!
Hawawezi kutaka kitu from nowhere,
Nimewafundisha chochote wanachotaka lazima waombe na kwenye kuomba kuna option mbili, kukubaliwa au kukataliwa.
They respect that. Hakika hatuna usumbufu
WashakujaNgoja matajiri wa jf waje wakupopoe akili ikukae sawa
KabisaJibu Moja
"Sina hela".
Sasa atajua amuachie ama achukue midoli yake....🤔🤔🤔
Asante mkuu.Hongera
Uko sahihi brooh!!Kuna watoto wa kipekee sana, hawezi pokea ktu mpaka mkubwa aliyefuatana naye amruhusu, ukienda supermarket naye watu watashangaa sana, kila anachohitaji lazima aombe ruhusa kwanza, ukimwambia hcho hapana wala halet ubishi, ila ni wachache mno.
au nasema uongo cocastic
SureDuh laki tano
You speak about my kidsKuna watoto wa kipekee sana, hawezi pokea ktu mpaka mkubwa aliyefuatana naye amruhusu, ukienda supermarket naye watu watashangaa sana, kila anachohitaji lazima aombe ruhusa kwanza, ukimwambia hcho hapana wala halet ubishi, ila ni wachache mno.
au nasema uongo cocastic
🤣Panda milima