Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

Mbona sijaelewa? Em nieleweshee
Mbinu za vender wa vitu toto wanampa mtoto mkononi mtoto anaanza kuuwasha moto mpaka unajimaliza kwa kulipia na sababu tayari hukuwa tayari ndo maumivu yamekuwa mob mpaka kaona isiwe shida akaja na thread hapa trending issues.
 
Kumbeee! Bas sawaa.
 
Kama ni wa mwanza huu mwezi kunywa, ijumaa bundes, jmos ni climax j2 ni tunza. Hapo ukimaliza basi inafata miez mi3 ya grossary na mitaa yetu. After miez mi3 unaenda tena kukaa na waheshimiwa kula dili za million mpk ujenz uishe na gari umalizie mkopo.
Mno shindii , mimi nakula pombe hatari ila one day bro wangu Evelyn Salt lazima apate hara safari moja 🤔
 
Back
Top Bottom