kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,755
- 25,600
Punguza kuwaza papuchi mkuuNilivyosikia kutoka na mtoto nikajua demu,kumbe mtoto kama mtoto😂
Punguza kuwaza papuchi mkuuNilivyosikia kutoka na mtoto nikajua demu,kumbe mtoto kama mtoto😂
Unamlaumu chinga ambaye hahusiki na malezi ya mwanao. Hivi wazazi wa kisasa mwanao anapata wapi ujasiri wa kulilia kitu toka kwa strangers? Wa kwangu hata mgeni tu akifika nyumbani kwangu anaheshimika na hawezi kusumbuliwa kwa namna yoyote ile.Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu tu mtoto kalilia sasa mm nime chukua hatua ya kumpa iyo 2000 na kusepa chap hii kitu ina kela au ni mimi tu
🤣🤣🤣 mistari kumi na hamna kituo, ni bora hata mimi ambae niliishia la nne B.We kwenye uandishi ni hamna bora tu ukomae na mapishi.
Kumbe hongeraKulwa na Dotto hapa mtaani wananiita mama wawili
Asante 😊Kumbe hongera
WasalimieAsante 😊
Skuli ya kizimkazi😁Skuli gani hiyo tukaifungie
Dipresheni tangu uchanga.Mwalimu ulifeli wapi au alianza dipresheni tangu utotoni?
Beach ya Mto Ruvuma!!! Vijana mna mamboNiliendaga beach na mtoto,Kuna wauza Maputo/bofu wakawa wanampa mtoto,,,,mtoto akapokea si kiling'ang'ania😁,,,,mie nawatizama tu,,eti mnunulie,,,,,nikamwambia akipasua usinidai.
Eeeeeh😁,Beach ya Mto Ruvuma!!! Vijana mna mambo
Tangu tumbon kwa mamayeDipresheni tangu uchanga.
Huyo anaandika kama anaimba singeli 😂🤣🤣🤣 mistari kumi na hamna kituo, ni bora hata mimi ambae niliishia la nne B.
Uwezi labda kwa mapishiAchana na mimi bwna nisije kukupiga
Hivi una tafutagaUwezi labda kwa mapishi
Natafuta paja la uso 😂Hivi una tafutaga
Nini?
Njoo uchukueNatafuta paja la uso 😂
Rudia.Niseme mara ngapi.
Unanilipa?Rudia.