Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,340
- 4,216
Hah! Hivi kumbe kwa dua tuu mtu anaweza kuwadhibiti hao jamaa. Asante -ngaja nitashea na wananzego.kwa kweli ni mdudu katiri sana ila ukiachana na yote kwa yote sisi zetu ni dua tu
Hah! Hivi kumbe kwa dua tuu mtu anaweza kuwadhibiti hao jamaa. Asante -ngaja nitashea na wananzego.kwa kweli ni mdudu katiri sana ila ukiachana na yote kwa yote sisi zetu ni dua tu
Not 90 days,....approximately siku 15 mpaka siku 400 kulingana na Temperature na Humidity(Unyevunyevu wa mahali)Shenzi huyu anaweza kaa siku 90 bila kula. Jichanganye eti ysuse geti mwezi watakufa. Utajua hujui
Aisee,sijawahi kuona kunguni Wala chawa.Kunguni
Ufarans iliwahi kutangaza kitu kama hali ya hatari juu y huyo mduduNi ishara ya ufukara!
Siwafuatilii.Ata kwenye picha? 😂
Ukubwa dawa babu umeona mengiHuku kwetu wanaliwa kama kisusio cha ugali...🤭
Ni mboga tam sana ukiwakaanga allo....😋
Ndiyo,sijawahi kuona live.Kumbee
Pia akinyonya damu (blood meal) moja ana uwezo wakukaa bila kula kwa kipindi cha miezi sita ,kwaiyo ukihama utamkuta anakusubiri mwili wake ukiwa mweupe kama kifungashio cha sukari..maajabuHadithi ya kunguni,huwa anapandwa na dume kwa njia ya insemination,anachomwa kamwiba na dume,maeneo ya tumboni,baada ya kuchomwa tu,huwa hafanyi Tena mapenzi,yeye shughuli yake ni kutaga tu,kwa maisha yake yote pindi akishiba tu,hutaga mayai 7-8 kwa siku moja,
Akiwa kwenye mchongo wa kula ndafu vizuri huweza kuishi kwa miezi 24.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
Nasikia hao wakiingia ndani unaweza hama nyumba