Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Ufukara, umasikini na uchafu uliopindukia ni marafiki wa hawa wadudu. Ukiwaona nyumbani kwako jiulize sana!!
 
Ukisikia jeshi la cambodia ndo hilo sasa. Taifa kubwa la Ufaransa liliwahi tangaza kuwa taifa lao liko katika hatari sababu ya huyo mdudu.
 
Hadithi ya kunguni,huwa anapandwa na dume kwa njia ya insemination,anachomwa kamwiba na dume,maeneo ya tumboni,baada ya kuchomwa tu,huwa hafanyi Tena mapenzi,yeye shughuli yake ni kutaga tu,kwa maisha yake yote pindi akishiba tu,hutaga mayai 7-8 kwa siku moja,
Akiwa kwenye mchongo wa kula ndafu vizuri huweza kuishi kwa miezi 24.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
Ila huyo wa kike ni wa kuonewa huruma - yaani anasex mara moja tu maishani!
 
Back
Top Bottom