Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Uhusiano uo uko vipi
Wadudu hawa mara nyingi huishi kwenye sehemu zisizo na mpangilio, kama nyufa na maeneo mengine yaliyofichika Kwa hiyo ninaposema ufukara na hao wadudu ni kama pete na kidole namaanisha kwamba hali ya ufukara na uwepo wa mazingira ya aina hiyo huenda pamoja kwa karibu sana mkuu
 
Back
Top Bottom