Hivi duniani kuna mdudu msumbufu kama KUNGUNI?

Hadithi ya kunguni,huwa anapandwa na dume kwa njia ya insemination,anachomwa kamwiba na dume,maeneo ya tumboni,baada ya kuchomwa tu,huwa hafanyi Tena mapenzi,yeye shughuli yake ni kutaga tu,kwa maisha yake yote pindi akishiba tu,hutaga mayai 7-8 kwa siku moja,
Akiwa kwenye mchongo wa kula ndafu vizuri huweza kuishi kwa miezi 24.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
Daah nilikua sijui kama kunguni ana maisha marefu hivyo miezi 24 mingi sana aisee ndio maana wanaweza kusoma mazingira ya muhuni anayoalala ili wamvamie..
 
Hadithi ya kunguni,huwa anapandwa na dume kwa njia ya insemination,anachomwa kamwiba na dume,maeneo ya tumboni,baada ya kuchomwa tu,huwa hafanyi Tena mapenzi,yeye shughuli yake ni kutaga tu,kwa maisha yake yote pindi akishiba tu,hutaga mayai 7-8 kwa siku moja,
Akiwa kwenye mchongo wa kula ndafu vizuri huweza kuishi kwa miezi 24.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
Sawa kabisa
 
Kunguni nimewajulia CIVE Aiseeee
Ila secondary shule zilizopo sehemu ya bard haya mambo hakuna kabisa.

Cive kuna kunguni sijui sasa hvi nahisi wamebiresha naskia wameweka magodoro mapya.

Ile ishu ya kunguni ilifanya mpaka nikapata wazo la kuwa naua kunguni kama kuna watu wa CIVE hapa nazani watanijua .

Nilikua najiita mr cleaner nilikua napiga hawa wadudu kiasi ambacho nikifika room tuu wadudu wanajua kumbiana "" Amekuja the punisher amekuja jamani kimbieni""

Dawa nilizokua natumia aiseee ni hatare an mpaka wakaniamini yaan mpaka uongozi wa madom wakaniamini nikawa sasa natambilika mpaka na ma waden.

Na hapa ndo nitakuja kutoa kisa cha kuanza kupenda mashangazi baada ya kutoka chuo....
 
Hadithi ya kunguni,huwa anapandwa na dume kwa njia ya insemination,anachomwa kamwiba na dume,maeneo ya tumboni,baada ya kuchomwa tu,huwa hafanyi Tena mapenzi,yeye shughuli yake ni kutaga tu,kwa maisha yake yote pindi akishiba tu,hutaga mayai 7-8 kwa siku moja,
Akiwa kwenye mchongo wa kula ndafu vizuri huweza kuishi kwa miezi 24.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
😂😂😂😂😂😂😂

Mi nakuona mtu seriously sana we jamaa ila niliposoma hii daaah nimecheka sana aiseee
 
Back
Top Bottom