Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..

Chukulia mfano waajiliwa,

Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?

Huu si wendawazimu?

Alaf unasema umeishi?

Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine

Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa

Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi

Cc meghan markle
Tufanye nini Ili tusifanye kile kile tupe mbinu basi
 
Huku mtaani kuna kijana amekuwa mwl kwa miaka 12 mwaka jana aliamua kukopa bank na kuacha kazi. Sema kajilipua yupo machimboni. Kiuhalisia wapo watu wanaoenjoy kuajiriwa pia wapo ambao wanaenjoy wakijiajiri wenyewe
Kuna watu hawawezi kuishi nje ya ajira, yaani kumwambia awekeze sehemu na kujisimamia hawezi na hiyo ni kawaida sana. Sioni ajabu sana...

Kwa mazingira ya Tanzania, kujiajiri ni kazi sana, kazi kubwa sana.
 
What does a mashine does?

Listen, sikusema hana uchaguzi because hana... Usielewe vibaya na usitumie hiyo statement as a reality....

Nimetoa because ya kuelezea why binadamu anakosa uchaguzi.. Lakini anaweza kufanya because katika perspective ya ubongo kuna free will

Illusion kivipi na huku uhalisia unaonekana in real life..

Wacha kudive kwenye metaphysics wakati kupo kwenye 3D world.
Naona haujanilewa vizuri
 
Naona haujanilewa vizuri
From your perspective bado ulikuwa unakataa kufanya kitu kile kile sio kuwa kama mashine..

Na mimi Nika kwambia hiyo ni illusion, wewe ukaanza kwenda kwenye metaphysical perspective which is denying the current reality

Also jana kuna ile mada ya scientific facts: hukunijibu... Je ulisoma nilicho andika?
 
Kuna watu hawawezi kuishi nje ya ajira, yaani kumwambia awekeze sehemu na kujisimamia hawezi na hiyo ni kawaida sana. Sioni ajabu sana...

Kwa mazingira ya Tanzania, kujiajiri ni kazi sana, kazi kubwa sana.
Facts kabisa mzee.
 
From your perspective bado ulikuwa unakataa kufanya kitu kile kile sio kuwa kama mashine..

Na mimi Nika kwambia hiyo ni illusion, wewe ukaanza kwenda kwenye metaphysical perspective which is denying the current reality

Also jana kuna ile mada ya scientific facts: hukunijibu... Je ulisoma nilicho andika?
Unachokiita current reality ni interpretation ya uzoefu, si conclusion ya mwisho ya ukweli.

Kusema kurudia kitu ni kuwa mashine ni tafsiri yako ya thamani (value judgment) si fact ya kisayansi.

Na kuhusu illusion ,kama kila kitu ni illusion, basi hata uwezo wako wa kutambua hiyo illusion ni sehemu ya hiyo hiyo system huwezi kuitenga na kuiweka nje kama ukweli wa juu.
 
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..

Chukulia mfano waajiliwa,

Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?

Huu si wendawazimu?

Alaf unasema umeishi?

Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine

Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa

Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi

Cc meghan markle
unakuta tangu amenunu simu au kifaa chochote kile anachotumia kuingia JF na kuandika mabandiko mbalimbali, anatumia herufi A-Z tu maisha yake yote. hivi hii husababishwa na nin hasa?

unakuta mtu tangu amezaliwa,
anatumia mdomo huo huo kula, kunywa, kuongea au kuimba, je hali hii tunaweza kuiita nini kwa mfano gentleman?🐒
 
Nimekupata ile hali ya kwenda asubuhi kazini unarudi usiku kila siku upo ndani ya huu mzunguko kwa maisha yako yote huu nao huwa naona kama mfumo wa kihayawanj sana, kuishi kutumika na kutumikia watu dah........
 
Unabwabwaja na kutapatapa tu gentlemen
Nenda kaendelee kuwa chawa huenda huko ndo pumzika yakoo
 
Unachokiita current reality ni interpretation ya uzoefu, si conclusion ya mwisho ya ukweli.

Kusema kurudia kitu ni kuwa mashine ni tafsiri yako ya thamani (value judgment) si fact ya kisayansi.

Na kuhusu illusion ,kama kila kitu ni illusion, basi hata uwezo wako wa kutambua hiyo illusion ni sehemu ya hiyo hiyo system huwezi kuitenga na kuiweka nje kama ukweli wa juu.

Nilikuuliza mechanics za mashine ni zipi hukujibu

Jibu la Swali lako lipo hapo...

Unacho kiita kuongeza maarifa ni na update ya software kwenye mashine ila kazi ni ile ile

Tusiende mbali sana maana tutakuwa tunataka kuprove kitu ambacho kiko real.
 
Nimekupata ile hali ya kwenda asubuhi kazini unarudi usiku kila siku upo ndani ya huu mzunguko kwa maisha yako yote huu nao huwa naona kama mfumo wa kihayawanj sana, kuishi kutumika na kutumikia watu dah........
Wametuwezea hapo... Hao hao walogundua kitu kinaitwa pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom