Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..

Chukulia mfano waajiliwa,

Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?

Huu si wendawazimu?

Alaf unasema umeishi?

Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine

Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa

Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi

Cc meghan markle
Next time tumia neno halafu na siyo Alaf
Hii ni kwa faida yako mwenyewe.
 
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..

Chukulia mfano waajiliwa,

Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?

Huu si wendawazimu?

Alaf unasema umeishi?

Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine

Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa

Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi

Cc meghan markle
Pumba tupu 🚮
 
Wote ni mashine...

Michael Jackson alishawahi kusema pia
My life was stolen from me
My childhood was stolen from me
Alijilaumu kuwa engrossed kwenye muziki maisha yake yoote

So that's an illusion of growth, ila unakuwa umejifungia kwenye box

Na most celebrities au watu mashuhuri unao wazungumzia wana pesa ya kuvinjari na kufanya watakalo

Reality cheki mwanadamu ambaye anategemea kazi kuishi, huyo hana way out so atafanya kile kitu mpaka anaingia kaburini
Malalamiko ya mJ sio kanuni kwa kila mtu.

Hoja yako imejipinga yenyewe. Ukisema mtu anayefanya kazi maisha yake yote ni mashine kwa sababu hana uchaguzi, basi tatizo si kurudia kazi tatizo ni ukosefu wa uhuru wa kiuchumi.

Kwa hiyo umeacha hoja yako ya kwanza "marudio yanakufanya mashine" na kuikimbia kwenda hoja nyingine "umaskini unakunyima uchaguzi", Hizo ni hoja mbili tofauti.🤔

Na kama ukuaji ni illusion, basi hata uwezo wako wa kugundua hiyo illusion ungekuwa illusion pia. Ukikataa uwezekano wa ukuaji kwa kila mtu, umeikata hata hoja yako mwenyewe.
 
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..

Chukulia mfano waajiliwa,

Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?

Huu si wendawazimu?

Alaf unasema umeishi?

Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine

Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa

Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi

Cc meghan markle
Jf bwana; unaweza kukuta mwamba anaandika haya Huku pembeni Kuna box lake Moja kuubwa la chaki za continental anasubiria kipindi akawafundishe watoto wa form two waliowazuia KURUDI nyumbani likizo hii Ili wakamilishe mada Huku akiusubiria mwaka wake wa 2036 kustaafu baada ya kudumu kwenye ualimu kwa miaka 35 mpaka Sasa.
 
Malalamiko ya mJ sio kanuni kwa kila mtu.

Hoja yako imejipinga yenyewe. Ukisema mtu anayefanya kazi maisha yake yote ni mashine kwa sababu hana uchaguzi, basi tatizo si kurudia kazi tatizo ni ukosefu wa uhuru wa kiuchumi.

Kwa hiyo umeacha hoja yako ya kwanza "marudio yanakufanya mashine" na kuikimbia kwenda hoja nyingine "umaskini unakunyima uchaguzi", Hizo ni hoja mbili tofauti.🤔

Na kama ukuaji ni illusion, basi hata uwezo wako wa kugundua hiyo illusion ungekuwa illusion pia. Ukikataa uwezekano wa ukuaji kwa kila mtu, umeikata hata hoja yako mwenyewe.
What does a mashine does?

Listen, sikusema hana uchaguzi because hana... Usielewe vibaya na usitumie hiyo statement as a reality....

Nimetoa because ya kuelezea why binadamu anakosa uchaguzi.. Lakini anaweza kufanya because katika perspective ya ubongo kuna free will

Illusion kivipi na huku uhalisia unaonekana in real life..

Wacha kudive kwenye metaphysics wakati kupo kwenye 3D world.
 
Kwamba ubadilikebadilike uache kuishi kama mashine iliyosetiwa 😄😄

Yaani hapo hotelini kwako usiwe unapikia palepale jikoni bali unaweza kupikia juu ya meza za wateja, vitandani au hata hapo nje barabarani.... Usiwe unapumua kwa pua tu fanya upumue kwa masikio
🤣🤣🤣
 
Jf bwana; unaweza kukuta mwamba anaandika haya Huku pembeni Kuna box lake Moja kuubwa la chaki za continental anasubiria kipindi akawafundishe watoto wa form two waliowazuia KURUDI nyumbani likizo hii Ili wakamilishe mada Huku akiusubiria mwaka wake wa 2036 kustaafu baada ya kudumu kwenye ualimu kwa miaka 35 mpaka Sasa.
Nimecheka mpk mbavu zinauma🤣🤣🤣
 
Kwa kweli it's boring, kufanya kiru kile kile 7 days a week, week 52 inachosha. Hata kula tu, same thing everyday inachosha.

Kifupi maisha hayana maana, sema tumejikuta tupo duniani na cycle ya maisha ipo hivyo, I inachosha.
 
Umepiga kama CR7 mzee wa kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom