Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Employment is a form of slavery, that employers trade your worth for a check
Hivi watu kama nyie hua mna waza kwa kutumia kiungo gani cha mwili!
Au ndio mmeshakua Brainwashed na hawa motivation speaker?

Ni Binadamu gani anafanya kazi zake zote yeye mwenyewe bila kuajiri wasaidizi?
Mo Dewji kajiajiri ila ameajiri watu pia,Dangote kajiajiri ila kaajiri watu pia,Max Mello wa JF ameajiri watu pia,

Kwa hiyo watu kama wewe mnataka kila mtu afanye kazi zake zote yeye peke yake bila kuajiri wasaidizi? coz haifai mtu kuajiriwa coz ni utumwa?

Unaweza kukuta hapo una genge lako la kuuza Nazi na Bamia na unaingiza laki kwa mwezi halafu unamcheka mtu aliye ajiriwa anayepiga 10 M monthly,kuna watu wameajiriwa kisha wanapiga na mishe zao pembeni,acha kua na tabia kama za Sponge kumeza kila kimiminika unachomwagiwa.
 
I don't give a shit.
Fanya kukanda panapo Uma.
Nilisema mwenye manung'uniko afanye kama hajaona
 
Hatuwezi kuwaacha watu kama wewe mkasambaza hizi nonsense kwenye hiki kizazi,
Lazima tuwe karibu na nyinyi,

Kwa akili hii ina maana waliojiajiri wote wana maisha mazuri na walioajiriwa wote wana maisha mabaya?

Kwenye ajira unatakiwa tu ujiendeleze na sio kubaki kama ulivyo,
Growing yourself where you are employed,means taking personal ownership of ur professional development by actively building new skills,expanding your network and taking on fresh challenges right where you are.
 
If using employment as a liability, then ok
 
But that's quite impossible... Mshika mbili vyote huchomoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom