Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Sasa mbona huna hoja za kupinga huo ujinga gentlemen?
natamani uache kutumia A-Z, na badala yake tuone unatumia vitu vingine maisha yako yote yaliyobaki,

si umedai ni uendawazimu mtu kufanya kazi ile ile daily maisha yake yote akiwa kazini?

natamani ueleze hata mbdala wa wewe kwenda kushusha tofali msalani iwe ni upi na itapendeza zaidi, maana tangu umezaliwa unatumia njia hiyo hiyo kushusha tofali 🐒
 
Gentlemen
Hatuko kwenye perception ya mifumo ya kimiili inayo tu fanya tuendelee kuishi

Tuko kwenye perception ya maisha yenyewe kabisa, sio kunya, kula, kuvaa, kusinzia, kuamka, na hata kufa... Hvi vyote mtu hufanya na kupitia.

So nenda mbele kidogo gentlemen
 
Nilikuuliza mechanics za mashine ni zipi hukujibu

Jibu la Swali lako lipo hapo...

Unacho kiita kuongeza maarifa ni na update ya software kwenye mashine ila kazi ni ile ile

Tusiende mbali sana maana tutakuwa tunataka kuprove kitu ambacho kiko real.
Bado unazidi kufanya value judgment, bado pia unarudia kitu kile kama mada yako inavyosema , ebu rudia kunisoma kwa utaratibu na usirudie kujibu vile vile ili kuthibitisha madai ya mada yako
 
Gentlemen
Hatuko kwenye perception ya mifumo ya kimiili inayo tu fanya tuendelee kuishi

Tuko kwenye perception ya maisha yenyewe kabisa, sio kunya, kula, kuvaa, kusinzia, kuamka, na hata kufa... Hvi vyote mtu hufanya na kupitia.

So nenda mbele kidogo gentlemen
Gentleman,
kwani utaratibu wa kazi na huu utaratibu wa kutumia A-Z vimewekwa au kuletwa na nani, hata kingine kiwe mfumo na kingine kiwe perception?🐒
 
Unajua nn maana ya perception?

Nimekwambia kuwa mtazamo waki si sahihi na kile nilicho maanisha siku maanisha
Mifumo ya kimiili... Nili maanisha mifumo ya kuishi maisha na kufanya kazi ile ile kama mashine
 
okay,
kwasababu ya ufinyu wa muda wacha niishie hapo, okay gentleman?🐒
 
Bado unazidi kufanya value judgment, bado pia unarudia kitu kile kama mada yako inavyosema , ebu rudia kunisoma kwa utaratibu na usirudie kujibu vile vile ili kuthibitisha madai ya mada yako
Nimekwelewa si uli maanisha kwamba perception yangu ya mada ni individual view ila haiko scientific proven?

Well, ndo maana mwanzo nikasema ni bora tuliangalie swala hilo from a social perspective. Ita make sense zaidi.
 
Nipo sambamba na mada yako , ndio maana nikakuambia unaweza kufanya kitu kile kile kwa ubora na ukaaendelea kuliko kudandia kila kitu na usiendelee kwa lolote
 
Lakini haiondoi the fact that unakuwa kama mashine... Sio

Then we're on the same page mkuu

Ile post ya jana kwenye ule uzi ulielewa lakini? Kuhusu nothingness and singularity as your true nature after Enlightenment?
 
Tofauti na kutokuwa mashine unapaswa kufanya nini ile usiwe kama mashine
 
Lakini haiondoi the fact that unakuwa kama mashine... Sio

Then we're on the same page mkuu

Ile post ya jana kwenye ule uzi ulielewa lakini? Kuhusu nothingness and singularity as your true nature after Enlightenment?
Nitag kwenye huo uzi tena nausaka siuoni
 
To let go,
Let go of the limited idea kuwa nahitaji kuwa boxed on the same thing or job.

It's a decision not a choice
Letting go, bila kuonyesha unachobadilisha badala yake ni fantasy, si falsafa.

Huwezi kukataa box zote za kazi na majukumu halafu bado ukaishi kama sehemu ya jamii hiyo hiyo.

Uhuru wa kweli haupo nje ya mfumo ,upo ndani ya kuujua na kuutumia kwa akili. Ukikimbia structure, hauendi kwenye freedom, unaanguka kwenye instability.

Kusema ni decision si choice hakubadilishi uhalisia kwamba bado unategemea choices za mfumo unaoukataa.
 
Nitag kwenye huo uzi tena nausaka siuoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom