Ni kwanini binadamu anathamini mtu au kitu cha kupita?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,077
Reaction score
27,324
Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali.

Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha yake ya revolve around umiliki wa vitu? Mbona wanyama wao wanaishi kulingana na Matakwa ya mazingira na wasie attached? Mnyama huishi kwa kutokana na kile kilichopo.

Je, kuna mpuuzi mmoja alituaminisha katika umiliki? Yaani hii illusion ndo mwanzo wa shida na Maumivu ya wengi. Kwanini nitesekee kitu nacho jua fika nitakufa na kukiacha?

Mtu yuko radhi aende kufanya kitu kile kile kwa miaka 50 straight kisa anataka aendelee kulipia hela ya mafuta, kodi, bando, uneme, na pango. Ilihali kuna siku atakufa na kuviacha?

Je, enyi wamatumbi nadhani hii ni kitu sawa, na wanyama wametuzidi akili?

Lakini pia isitoe uhalisia kuwa nature ya binadamu ni imagination. Mtu huwezi kuwa na thamani endapo uki geuka kuwa mnyama. Je ndugu zangu hili la umiliki, yaani huyu mtu(mke) ni wangu pekee, au hili gari, hii simu... Na vinginevyo. Je,

Je, ni namna yetu ya kuyapa maana maisha au tunajipa umuhimu ambao hatuna kabisa, in the grand scheme of life?

Naomba tulete hoja na tujadili bila kuleta mihemko, ili tuone mapana ya kufikiri kwetu.
 
Purpose ni kiini cha hili andiko lako, kwahiyo ukianzia hapo kwenye purpose ndio utapata majibu yote ya haya maswali yako.
 
Survival instincts
Kuna theory moja inasema wazungu walijulia kitu kimoja since binadamu kawa safe from Wild attacks kama simba na wanyama pori ngoja tuihamishie survival kwenye capitalism. Naona kama ina make some sense kabisa. Maana the same applies here, usipo kuwa na maisha unajiona fukara ila ukute hata huna shida ni vile tu unadhani wenye navyo ndo wanafaidi.

That's why fame and popularity kills people sometimes maana anagundua there's a poor person anaenjoy maisha na hana ratiba ngumu na mifungo isiyo na maana
 
Purpose ni kiini cha hili andiko lako, kwahiyo ukianzia hapo kwenye purpose ndio utapata majibu yote ya haya maswali yako.
Kuyapa maana maisha sio?

Na kwanini wengi huyapa maana maisha kwenye vitu vya kupita? Imagine mtu anakuja kukuringishia gari la million 200! Anasema hiyo ndio maana yake kuwafanya watu watafute kama lake na kuwadhihaki?
 
Yote hayo chanzo ni Ujinga

Hata VITA zinazoendelea 99% ni MATOKEO ya ujinga

Ebu fikiria Mwanasiasa anaanzisha vita na nchi Fulani akimaliza anawatuma wanajeshi waendel wakauliwe na wakifa anasema wamekufa wakipambania nchi yao wataitwa wazalendo.

So Dunia haipo bado ktk Civilization stage

Ni watu wachache sana ambao wameushinda ujinga.

Hivyo anayemuua mwizi kwa kuiba simu ya lakimbili na anayeiba simu wote Hawa ni wajinga

Ujinga ni level ya chini ya ufahamu kushindwa kupima consequences ya Kila jambo unalofanya.

The same kumiliki vitu

Mfano Kuna MTU anaiba ili ajenge na mwingine hiyo nyumba ameivaa shingoni. Kama cheni (thamani)
 
Ndo maana mimi naona AI inakuja kutu onesha jinsi sisi binadamu tulikuwa tunatumia akili zetu vibaya.

Maana it is all manking sense, kila kitu kimwkuwa monetized. Hata interaction siku hizi, pisi zinataka hela kuongea nae tu, haya ni matatizo ya akili na wengi wanaona gahari katika hilo.

Binafsi nimeguswa Sana ulipozungumzia vita, that's deep mkuu
 
Kuyapa maana maisha sio?

Na kwanini wengi huyapa maana maisha kwenye vitu vya kupita? Imagine mtu anakuja kukuringishia gari la million 200! Anasema hiyo ndio maana yake kuwafanya watu watafute kama lake na kuwadhihaki?
Sasa hapo si kwamba anaonesha gari isipokua anaonesha utii (ingawa hapa ni pagumu kidogo kuelewa)

Ila unachotakiwa ujue kinachofanya mtu aamke asubuhi aende kufanya kile anachokifanya wala sio pesa, isipokuwa mara zote huwa pesa ni matokeo ya kile ambacho mtu hukifanya.

Kikawaida mtu hapati pesa kwenye Kila kitu ambacho atakifanya ila huwa anapata pesa kwenye kile kitu ambacho yeye aliumbwa kuja kuifanya (hapa sasa ndio tunapata kitu kinachoitwa hatima)

Ndio maana unaona Kila kitu ambacho kipo duniani kilizaliwa siku moja ambayo mtu mmoja alizaliwa.

Kwenye hatima yako ndiko kuliko na mafanikio yako, na kile ambacho uliumbwa kuja kukifanya ndicho kinachodetermine kiwango cha umiliki ambacho utakua nacho (na test yako kwenye pesa haiwezi kuvuka hapo)

Kwahiyo mtu anapoonesha au kufurahia mafanikio yake kwa jicho la kawaida utaona kwamba anaonesha pesa or whatever ila in reality anachokifurahia hapo ni kile ambacho alitumwa kuja kukifanya amefanikiwa kukifanya (huwa mnasema amejitafuta amejipata, kwa maana amejiposition kwenye eneo ambalo alitakiwa kuwa)

Kwahiyo kwa maana nyingine utii wa mtu huwa unapimwa na mafanikio yake na hali ya uridhikaji ambayo mtu huyo yuko nayo.

Kwahiyo mtu anavyomuibia mtu pesa ni sawa sawa na kwenda kumnyang'anya ile reward ambayo yeye ameipata baada ya kutimiza wajibu wake hapa duniani (kwahiyo unagusa matokeo ya kihatima ya mtu, ndio maana hapa kuna maneno mengi yapo, utaskia jasho la mtu haliliwi mara jasho la mtu haliendi bure na kadhalika)

So ndio maana nikasema kiini cha andiko lako kinaanzia hapo kwenye purpose.
 
I got you na hata mm mindset yangu ni hiyo

Ila kwenye reality check only asilimia chache sana wanamtazamo huu! Ukimwuliza average person "wewe purpose yako ni nini? Atakuambia trivial things, ama atasema kuwa anataka kuwa kama fulani. Hapo ndo mwanzo wa kupotea, kuna mcheshaji Jim Carrey alipata kila kitu lakini alipata hole inside na kupitia depression mbaya kutokana na Kuyapa matokeo ya nje thamani, badala ya kile kilicho kuwa ndani yake

Itakuwa illusion na kujidanganya eti purpose yako ni kumiliki wa kitu cha nje maana utakufa na ukiacha, ila true fulfillment na ambayo haina inner crisis ni ile itokayo ndani. Which is what you were trying to explain
 
Ndo maana mimi naona AI inakuja kutu onesha jinsi sisi binadamu tulikuwa tunatumia akili zetu vibaya.

Maana it is all manking sense, kila kitu kimwkuwa monetized. Hata interaction siku hizi, pisi zinataka hela kuongea nae tu, haya ni matatizo ya akili na wengi wanaona gahari katika hilo.

Binafsi nimeguswa Sana ulipozungumzia vita, that's deep mkuu

TATIZO NI KUSHAMBULIA ADUI ASIYE SAHIHI

Ujinga ndio unaotusumbua.

Mpaka sasa, watu wengi hawajui hata adui yao wa kweli ni nani. Wanaishia kupambana na mtu anayewaonekana mbele yao, bila kuchunguza chanzo halisi cha tatizo.

Mfano mzuri ni askari polisi.

Kuna wakati wananchi wanamlaumu askari ambaye ni kijana tu aliyekuwa mtaani, akapata ajira na kuamua kuitumikia nchi. Wakati mwingine analaumiwa kwa maamuzi ambayo hakuyafanya yeye binafsi.

Huyu askari mara nyingi anafanya kazi ndani ya mfumo. Anafuata sheria, taratibu na maagizo ya viongozi wake. Kwa hiyo, kumchukia yeye bila kuelewa mfumo mzima ni kushambulia mtu aliye mbele yako badala ya kutafuta chanzo cha uamuzi.

Ndiyo maana wakati mwingine watu wanaweza hata kufurahia askari anapopata matatizo, bila kujiuliza:

“Je, huyu ndiye aliyefanya uamuzi, au alikuwa anatekeleza uamuzi wa wengine?”

Hapo ndipo tunakosea.

Unapaswa kutafuta chanzo cha tatizo, siyo tu mtu anayelionyesha.

Vivyo hivyo kwenye maisha binafsi.

Mwanamke amekukataa kwa sababu huna pesa.

Watu wengi wanaweza kumchukia huyo mwanamke na kumwona kama adui yao.

Lakini ukiangalia kwa kina, huenda tatizo kubwa si huyo mwanamke.

Tatizo ni hali yako ya kifedha.

Kwa hiyo, badala ya kutumia nguvu zako kumchukia mwanamke aliyekukataa, unaweza kutumia nguvu hizo kupambana na umasikini, kujenga uwezo wako, kuongeza kipato chako na kuboresha maisha yako.

Kwa sababu kadiri uwezo wako unavyoongezeka, ndivyo options zako zinavyoongezeka pia. Unaweza kufikia hatua ya kuchagua mtu anayekufaa badala ya kuishi ukilazimisha acceptance kutoka kwa mtu mmoja.

Hii ndiyo tofauti kati ya reaction na strategy.

Mtu anayefikiria kwa haraka hupambana na kile kinachomuudhi.

Mtu anayefikiria kwa kina hujiuliza:

“Chanzo halisi cha tatizo langu ni nini?”

Kwa sababu ukishambulia adui asiye sahihi, unaweza kutumia nguvu zako zote kupigana na mtu ambaye hata si chanzo cha tatizo.

Most people don't lose because they are weak. They lose because they fight the wrong enemy.

Kwa hiyo kabla hujapigana, kabla hujamchukia mtu, kabla hujatoa lawama—

Tambua kwanza adui wa kweli ni nani. Kama ni Ujinga pambana na huyo
 
I got you na hata mm mindset yangu ni hiyo

Ila kwenye reality check only asilimia chache sana wanamtazamo huu! Ukimwuliza average person "wewe purpose yako ni nini? Atakuambia trivial things, ama atasema kuwa anataka kuwa kama fulani. Hapo ndo mwanzo wa kupotea, kuna mcheshaji Jim Carrey alipata kila kitu lakini alipata hole inside na kupitia depression mbaya kutokana na Kuyapa matokeo ya nje thamani, badala ya kile kilicho kuwa ndani yake

Itakuwa illusion na kujidanganya eti purpose yako ni kumiliki wa kitu cha nje maana utakufa na ukiacha, ila true fulfillment na ambayo haina inner crisis ni ile itokayo ndani. Which is what you were trying to explain
Yeah umenielewa vizuri...
 
Mkuu Empty containers Tanzania

Nishi humu... 👇
"Chanzo halisi cha tatizo langu ni nini?”

Kwa sababu ukishambulia adui asiye sahihi, unaweza kutumia nguvu zako zote kupigana na mtu ambaye hata si chanzo cha tatizo.

Most people don't lose because they are weak. They lose because they fight the wrong enemy.

Kwa hiyo kabla hujapigana, kabla hujamchukia mtu, kabla hujatoa lawama—

Tambua kwanza adui wa kweli ni nani. Kama ni Ujinga pambana na huyo. "

Na wengi huishi kureact tu na si kutaka kujua
 
Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali.

Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha yake ya revolve around umiliki wa vitu? Mbona wanyama wao wanaishi kulingana na Matakwa ya mazingira na wasie attached? Mnyama huishi kwa kutokana na kile kilichopo.

Je, kuna mpuuzi mmoja alituaminisha katika umiliki? Yaani hii illusion ndo mwanzo wa shida na Maumivu ya wengi. Kwanini nitesekee kitu nacho jua fika nitakufa na kukiacha?

Mtu yuko radhi aende kufanya kitu kile kile kwa miaka 50 straight kisa anataka aendelee kulipia hela ya mafuta, kodi, bando, uneme, na pango. Ilihali kuna siku atakufa na kuviacha?

Je, enyi wamatumbi nadhani hii ni kitu sawa, na wanyama wametuzidi akili?

Lakini pia isitoe uhalisia kuwa nature ya binadamu ni imagination. Mtu huwezi kuwa na thamani endapo uki geuka kuwa mnyama. Je ndugu zangu hili la umiliki, yaani huyu mtu(mke) ni wangu pekee, au hili gari, hii simu... Na vinginevyo. Je,

Je, ni namna yetu ya kuyapa maana maisha au tunajipa umuhimu ambao hatuna kabisa, in the grand scheme of life?

Naomba tulete hoja na tujadili bila kuleta mihemko, ili tuone mapana ya kufikiri kwetu.
Ni kwa sababu na yeye binadamu ni wa kupita pia. Walisemaga Birds of the same feather flock together. i.e. ni wa aina moja na mtizamo unaolingana. Wakishapita huenda wakakutana tena huko mbele ya safari.
 
Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali.

Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha yake ya revolve around umiliki wa vitu? Mbona wanyama wao wanaishi kulingana na Matakwa ya mazingira na wasie attached? Mnyama huishi kwa kutokana na kile kilichopo.

Je, kuna mpuuzi mmoja alituaminisha katika umiliki? Yaani hii illusion ndo mwanzo wa shida na Maumivu ya wengi. Kwanini nitesekee kitu nacho jua fika nitakufa na kukiacha?

Mtu yuko radhi aende kufanya kitu kile kile kwa miaka 50 straight kisa anataka aendelee kulipia hela ya mafuta, kodi, bando, uneme, na pango. Ilihali kuna siku atakufa na kuviacha?

Je, enyi wamatumbi nadhani hii ni kitu sawa, na wanyama wametuzidi akili?

Lakini pia isitoe uhalisia kuwa nature ya binadamu ni imagination. Mtu huwezi kuwa na thamani endapo uki geuka kuwa mnyama. Je ndugu zangu hili la umiliki, yaani huyu mtu(mke) ni wangu pekee, au hili gari, hii simu... Na vinginevyo. Je,

Je, ni namna yetu ya kuyapa maana maisha au tunajipa umuhimu ambao hatuna kabisa, in the grand scheme of life?

Naomba tulete hoja na tujadili bila kuleta mihemko, ili tuone mapana ya kufikiri kwetu.
ukiona unawaza hivi jua unakaribia kuwa kichaa jitahidi kuwa mtu wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom