Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Ili siku ziende wengine humwagilia moyo
It makes a little bit of sense, mtu akimwagilia moyo kaa namna yoyote just let them, wewe utakunywa pombe ulewe kidogo, mimi nitatafuta mdada mzuri nikanyooshww mgongo kidogo, mwingine atasaifiri kwenda duniani kupooza akili kwa kuona vitu vipya kidogo..yote hayo ni kufanya rebooting ya ubongo.
 
Hata ukienda kuimba kwaya, you'll get used to it na itakuwa kawaida.

Ila nakubaliana na wewe, kuimba ni dawa ya ubongo, inarefresh sana.
Sometimes inabidi tutoke kwenye survival mode ambayo tume kuwa programmed kwa miaka mingi.. Hicho ndo kifungo walicho weza kutuwezea..

(Kazi=repeat=hela=rudia) alaf hapo ndo una uhakika wa kuishi

Hiyo point ya kuimba na kutafta pleasure on other things inasaidia sana
 
Huku mtaani kuna kijana amekuwa mwl kwa miaka 12 mwaka jana aliamua kukopa bank na kuacha kazi. Sema kajilipua yupo machimboni. Kiuhalisia wapo watu wanaoenjoy kuajiriwa pia wapo ambao wanaenjoy wakijiajiri wenyewe
Choice
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom