Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Hivi binadamu ni kiumbe wa namna gani?

Letting go, bila kuonyesha unachobadilisha badala yake ni fantasy, si falsafa.

Huwezi kukataa box zote za kazi na majukumu halafu bado ukaishi kama sehemu ya jamii hiyo hiyo.

Uhuru wa kweli haupo nje ya mfumo ,upo ndani ya kuujua na kuutumia kwa akili. Ukikimbia structure, hauendi kwenye freedom, unaanguka kwenye instability.

Kusema ni decision si choice hakubadilishi uhalisia kwamba bado unategemea choices za mfumo unaoukataa.
I never saidi nimekataa kazi zote

Mada yangu ili base kwenye kurudia kufanya kitu kile kile for a prolonged period of time.

Ni Sawa na kuwa mashine.. Ambayo iko designed kufanya kitu kimoja

Inawezekana uki diverse ndo ikakufanya uka get the most out of jamii kuliko kufanya jambo moja na kukosa the fountain of life and culture
 
Naunga hoja ya mtoa mada kwa kweli inachosha sana kila siku unaamka mda ule ule unapita njia ile ile unaenda sehemu ile ile kufanya jambo lile lile maisha yako yote

Mbaya zaidi unalipwa kile kile..
Mimi nilichoka na mazingira ya kazi nikaa week moja home nikazima na simu
Nikafukuzwa kazi..

Binadam tumefoutiana mimi naweza kuacha mishe nzuri sababu ya kuchoka mazingira na vitu kujirudia rudia!
 
Post ya mwanzo nilijibu hili , unaweza pia usifanye jambo hilo hilo na ukakosa fountain of life and culture na mwingine akafanya jambo hilo hilo likabdalisha na kuleta matokea chanya na mapya kabisa
 
Post ya mwanzo nilijibu hili , unaweza pia usifanye jambo hilo hilo na ukakosa fountain of life and culture na mwingine akafanya jambo hilo hilo likabdalisha na kuleta matokea chanya na mapya kabisa
I get that let's stay in the same page
 
Kabisa, nyuma ya pazia Kuna mengi sana
IMG_0601.jpeg
 
Naunga hoja ya mtoa mada kwa kweli inachosha sana kila siku unaamka mda ule ule unapita njia ile ile unaenda sehemu ile ile kufanya jambo lile lile maisha yako yote

Mbaya zaidi unalipwa kile kile..
Mimi nilichoka na mazingira ya kazi nikaa week moja home nikazima na simu
Nikafukuzwa kazi..

Binadam tumefoutiana mimi naweza kuacha mishe nzuri sababu ya kuchoka mazingira na vitu kujirudia rudia!
Same, same hiki kitu nimekuwa nikijiuliza niak mingi sana, like why are people so complacent on it...

Yaani kwanza shule ukae almost 25 yrs, unasomaga tuu, then uingie kazini 40 years wengine wakimaliza wanaingia private sector..

So almost your whole life you live on repeated tasks, completing the same checklists your entire life?

Huo ni kama wendawazimu Hakika, and just like you, am not down for it

Pole Kwa kifukuzwa kazi but Atleast una amani ya moyo... Ila usije ukakosa hata basic neeed kwa kufuatilia ushauri huu, huo ni upuuzi😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom