HIV inanitesa

HIV inanitesa

pole ni yetu sote kupima leo na kuambiwa hujaathirika si kigezo kuwa ni mzima milele
 
Nimecheka wapi kilema kipi? Hivi umesoma alichoandika au unakurupuka tu.......kwa taarifa yako toka 2008 amegundulika anao na bado akaendelea kugawa papuchi..sasa unataka tumsifie kwa lipi?
Hata kama ameipata tangu 2000 sio vizuri kumwambia maneno kama hayo hakuna binadamu asie kosea kua muungwana
japo kidogo.....
 
Aisee pole sana...sisi wanume sisi...yaani ukiona mtu mrembo lazima uombe kavu...hebu tuache jamani..LOL..HAKYANANI MUNGU ANAHITAJIKA,la sivyo tutakwisha..Hebu angalia huyo mdada alivyo na vigezo,kitu cha masters,usafiri,nyumba yake,kazi nzuri tena usikute ana 'head kitengo...loooh...Dada yangu HIV+ naomba uwapige za mbavuni mijidume miroho,nakwambia thawabu zake ni hazimithiliki....

EEH..MOLA TUSAIDIE....
 
Huwezi kujua kama upo wala kuugopa mpaka ukute umeathirika, jamani this disease is very real, ipo, ipo kabisaaaaaaaa! Ahsante mdada kwa kutukumbusha, usiwaambukize wengine, utapata neema na thawabu zako kutoka kwa MUNGU! MUNGU akuongoze na kukufariji katika kipindi chote cha ugonjwa wako, na sisi wengine jamani tuache kucheat, ambao hawajao/olewa wafanye hivyo na wastick to one man/woman marriage, sio mzaha hali ni mbayaaaaaa!

Watake radhi waislam kabla hawajamuadhibu muanzilishi wa hii JF
 
dah pole sana ,UKITA UPATE BARAKA KWA MUNGU ACHA KABISA KUWAMBUKIZA WENGINE KAMA ULIVYOSEMA,PILI NAJUA BADO UNAKUWA NA HISIA ZA KUFANYA MAPENZI ME NAKUSHARI UTAFUTE NJIA MBADALA YA AU KAMA UNAMWAUME UNAYEJAMIANA NAYE KWA SASA KUWA MUWAZI KWAKE ILI KAMA ATAKUWA TAYARI MUENDELEE ILA KWA USALAMA ZAIDI KWA USHAURI WA DR,
NA YEYE PIA AKAPIME
 
Dah! Haya bana. Siwezi kujiona tofauti na wewe maana inawezekna mi ni mmoja wa waliopita kwako kavu...
 
pole sana mpendwa mungu aendelee kukupa roho ya ujasiri katika hili
 
Habari zenu wana jamvi.
Naombeni maoni yenu /michango yenu.
Mie ni Mdada wa miaka 30 nima MBA ya UDSM na nimebahatika nimeajiriwa hapa DSM mitaa ya post mpya.Pia nina ishi na Virus visababishavo ukimwi (HIV)

Naisha maisha ya kawaida kabisa nimejenga na nina kiusafiri cha kunifikisha popote napotaka kwenda.Vile vile ni Mrembo nimeumbika haswaa maji ya kunde umbo la kibantu haswaa hakuna mwanaume akutane na mie asigeuke mara mbili mbili kuniangalia.

Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.Nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa Jamii leo hii.Namshukuru Mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.

Shida ni hii hapa Unyanyapaa kwa baadhi ya jamaa zetu katika jamii zinazotuzunguka umekuwa mkubwa sana.
Hali hii uwa inanipelekea kutaka kuambuka kwa makusudi wanaume wanaojigonga kwangu.Na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusiano kama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njema inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.

Jamani napenda kutoa wito kwa waathirika mwenzangu hapa Jamii forum tujiunge walau tufanye ka network ketu ili tuangalie namna ya kupambamba na Maradhi+Unyanyapaa na kukumbusha jamii UKIMWI upo nna pia hauchagui.Maana sie wagonjwa ndo tunajukumu la kuwalinda hawa wanao tunyanyapaa.

Tukichukulia Hasira unyanyapaa nawaaambia waTanzania wengi watapoteza maisha yao kwa HIV.
Na ninajutia sana Kwa kuwaambukiza wengine kwa taama zao za kimwili.
Asante
HIV+
Pole sana Dada, lakini ni kweli umejiunga jf octoba hii? au una lako tu jambo?
Sikia, hakuna kitu kinaitwa HIV ambacho kinaweza sababisha ugonjwa wowote mwilini, wala ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana, ni upuuzi tu wa wazungu kutaka kutuua kwa makusudi, wewe mwenyewe umekiri kuwa katika hizo NGO's hakuna chochote zaidi ya longolongo. Hao ni wachumia tumbo wanashiriki mauwaji ya haraiki bila kujijuwa.

Bonyeza hapa kuna mwanajamiiforum mwezako kashashitukia kuwa hiv ni dili la watu kuuwa watu bila sababu, kuna video kama tano kaziambatanisha we zi-download na uziangalie zote moja baada ya nyingine: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/333255-is-hiv-really-causes-aids.html

Pia tembelea website ifuatayo najuwa kwako kiingereza si tatizo utaelewa nini kinaelezwa huko: Peter Duesberg on AIDS - Duesberg.com - HIV / AIDS research website for Peter H. Duesberg.

Ukihitaji msaada zaidi utaniambia, Mungu muumba wa mbingu na nchi muweza wa yote akusaidie na hatimaye uwaelemishe wengine watoke kwenye hilo tope la kudhani HIV ni kirusi.
 
Nashukuru huu uzi umenikuta guest!Dume yangu iko wapi vile...
 
yaani imenigusa sana story hii ninahisi na mimi na dalili ya kila kitu kuhusu HIV ila naogopa kupimwa maana ukweli nimeharibu sana jamani sijui nifanyeje duh na nikirudi home sijui nitamuambia nini mchumba wangu yaani nimeanza kupungua sababu ya mawazo naogopa sana kwa kweli. sina amani kabisa
 
Habari zenu wana jamvi.
Naombeni maoni yenu /michango yenu.
Mie ni Mdada wa miaka 30 nima MBA ya UDSM na nimebahatika nimeajiriwa hapa DSM mitaa ya post mpya.Pia nina ishi na Virus visababishavo ukimwi (HIV)

Naisha maisha ya kawaida kabisa nimejenga na nina kiusafiri cha kunifikisha popote napotaka kwenda.Vile vile ni Mrembo nimeumbika haswaa maji ya kunde umbo la kibantu haswaa hakuna mwanaume akutane na mie asigeuke mara mbili mbili kuniangalia.

Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.Nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa Jamii leo hii.Namshukuru Mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.

Shida ni hii hapa Unyanyapaa kwa baadhi ya jamaa zetu katika jamii zinazotuzunguka umekuwa mkubwa sana.
Hali hii uwa inanipelekea kutaka kuambuka kwa makusudi wanaume wanaojigonga kwangu.Na wakati mwingine mie kama binadamu uwa najikuta kwenye mahusiano kama mjuavyo mara ya kwanza mtatumia kinga ya pili njema inataka kavu hapo ndo uwa napatwa na ngazi mwili mzima.

Jamani napenda kutoa wito kwa waathirika mwenzangu hapa Jamii forum tujiunge walau tufanye ka network ketu ili tuangalie namna ya kupambamba na Maradhi+Unyanyapaa na kukumbusha jamii UKIMWI upo nna pia hauchagui.Maana sie wagonjwa ndo tunajukumu la kuwalinda hawa wanao tunyanyapaa.

Tukichukulia Hasira unyanyapaa nawaaambia waTanzania wengi watapoteza maisha yao kwa HIV.
Na ninajutia sana Kwa kuwaambukiza wengine kwa taama zao za kimwili.
Asante
HIV+
May God give you strength .god bless you
 
Kwa Kuwa unakauwezo weka Emanuel tv cable ni shs 50,000/- utapata solution, Mimi ni mtazamaji mzuri sana na nimeona watu Wengi na hata wiki iliyopita kinda la wamalawi na mataifa mengine wakifunguliwa katika jina la yesu, haizalishi wewe ni dini gani, nenda na wewe kajaribu Imani yako itakuponya usikae unalalama do something about it
 
kuna aina nyingi ya virusi vya ukimwi hivyo kufanya mapenzi bila kinga bado ni hatari kwako pia kwa kuwa anakaribisha maambukizi mapya ambayo yatadhoofidha afya yako. unahitaji kujilinda as long umepata kazi na ofisini wanakuhitaji kwa sababu una afya ukishakuwa goi goi no body wants you anymore so take care and repent OUR LORD IS FAITHFULLY TO FORGIVE YOUR DEEDS (kila mtu hujaribiwa kwa tamaa zake mwenyewe na kudanganywa na tamaa ikikomaa huzaa dhambi na dhambi huzaa mauti) .
 
Kama vpi ni pm tuongee kitu kikusaidie ktk hali uliyo nayo,ila ubadilike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom