HIV inanitesa

usjali lol! ila tu iyo huwa tunakaa kisha usiku tunaenda club japo kudance kidogo lol! japo wazee lakin tutoe stress atii.

Msisahau kuaga wewe na wenzako unaowashawishi na kushawishiana.....isije baadaye mkaleta sredi kwa ID tofauti: "Mume wangu kanifungia mlango nilichelewa kurudi" gfsonwin
"Mume wangu kimeo hataki nitoke" cacico........
"Jamani ndoa yangu ipo majaribuni msaada" snowhite
 
Last edited by a moderator:
gonjwa mmelitafuta alafu hamtaki watu kuwanyanyapa ebo!!! wee kama una ngoma ujue watu watakuwa wanakukwepa tuu. sasa kubaliana na hali hiyo kuwa muwazi kwa hao wanaokutaka kukumega bila ndomu
 

wewe ulishindwa vipi kuwaambia hao waliokutamani kukumega utamu bila kinga kuwa hilo haliwezekani?
 

Niliwahi weka habari juu ya msichana niliyewahi kuwa katika mahusiano naye kumbe ana HIV siku moja akaja kuniambia, ninamshukuru sana maana mimi nilikuwa na pupa lakini yeye ndiye alikuwa ananikatalia mimi nikawa nakasirika bila kujua mwenzangu anajaribu niepusha na hatari.
Back to the topic, HIV siku hizi ukishajitambua unaishi kama kawaida. Mfano huyo mdada amejitambua kuwa anao toka 2004 mpaka leo ana afya njema na ni mke wa mtu ana watot 2 cha sa hivi mjamzito tena nadhan ujauzito wake utakuwa wa miezi kama mitatu.
She is a very close friend of mine and I love her so much yani huwezi jua kama anaishi nar daenyewe mzuri mixed angekuwa kicheche mbona nagetuua wengi na mimi nikiwemo.
As long as umejitambua dada mimi naona fresh kama pi tafenzako awe partner wako.
 
Hahahaaaaaa! Watu hamsahau! Ile sio nitoke vipi! Kweli eti mwenzenu amenikuta! LOLEST!!!! Nilinusurika BAN, ila uzi ulifungiwa

wangekuban mie ningeandamana switii, upo wapi uhuru wa kuelezea hisia zetu!!!
 
Usijali kabisa kupata virus si mwisho wa maisha, ishi kwa matumaini.

Ila epuka maambukizi mapya.
Swa la unyanya paa upo na wala usikukatishe tamaa!
Unyanyapaa unaanzia kwako mwenyewe( mfano wewe una jiita HIV+, kwangu naona una jinyanyapaa na kushauri ubadili ID )

Lakini ukiishi kwa matumaini na kujiamini unyanyapaa hauto kuathiri, epuka kuhisi kunyanyapaliwa!


Hongera kwa kuamua kuwa muwazi.
 
Pole sana kuugua sio kufa,ni wangapi ambao hawakuathirika na wamekufa kwa vifo tofauti,wakikuacha wewe ukiendelea kuishi....ila nakuomba uache kuwaambukiza vijana wenzio kwa makusudi ni ukatili wa hali juu....HIV+ ni ID nzuri kila atakea kusoma atajua ukimwi upo.!
 
Pole kwako dada,nazani uwe HIV+ or - safari yetu ni moja tu.Ila nashukuru kwa kutukumbusha kupitia stori yako hope wengi tutajifunza kupitia hapa.Kuwa na wapenzi wengi ama kujiingiza kwenye ngono kabla ya kupima ama ngono isiyosalama itatuumiza.Ila sijui ni wangapi tunakumbuka kwenda kupima unapoanzisha mahusiano na mtu mpya ama kutumia kondomu bila kujalisha umemjua huyo mtu mda gani sababu tunajisahau baada ya mazoea.
Ila kwa kua dada ushajua hali yako,jua hauko mwenyewe wengi wetu tunatembea bila kujijua,cha kufanya sasa ni kumuomba Mungu akuongoze,na kujitahidi kuwa muwazi kwa wanaume anaekufata ili kama akikubali basi ajue uko kwenye hali gani ama kumkinga ili kupunguza maambukizi.
 
umenifanya nicheke sana platozoom. sasa ngoja nikwambie cacico huwa anakuja na hubby wake mie huwa naaga kabisa na huwa ana hakikisha niko full kila kona, snowhite vile vile. sasa usitegemee hilo. lol!
 
Last edited by a moderator:

Haya bwana...
 

Very philosophical...mhhh!
 

Kwa vigezo hapati mzuka unaostahili....mbona tunapelekana kubaya bila sababu. Duuh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…