Naishi na mwenye HIV+ napata wakati mgumu sana

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Haya maisha sisi kama binadamu hatujui kesho yetu, leo unaweza kujiskia vibaya ukaenda hospital ukaambiwa una kansa au kisukari au TB au ukimwi au ugonjwa wowote ule.. Mungu atunusuru. Ila hapa gheto nakaa na jamaa angu ambae ni rafiki yangu damu tumesoma darasa moja kwanzia chekechea mpaka advance.

Mwaka jana aliniita kwenye ufukwe wa bahari sun rise kigamboni akanipa ukweli wote kuwa yeye ana umeme nikajua ni utani ila nilikuja kujua ni kweli baada ya kuona ni mwenye huzuni na majonzi mda wote lakini pia akanionyesha kila kitu mpaka vidonge na baadhi ya vitabu vya ushauri nasaha. Nikamwambia ajiskie kawaida kwanza ukimwi sio ugonjwa ila niuzushi tu wa wazungu, HIV nikama bakteria tu waliopo kwenye maziwa mgando hivyo asiwe na shaka kabisa.

Jamaa akawa huru nikawa naishi nae mpaka sasa, ila shida nikuwa ninamfariji kupita kiasi mpaka mm naanza kuwa bored maana viatu vyangu anaazima na ukizingatia miguu yetu inatoa unyevunyevu, vijiko tunashare, anaomba mpaka nailcater Sasa nahisi kama nitaambukizwa. Ila yote kwa yote maana ni rafiki yangu wa maisha nitajitahidi kuwa nae japo ingekuwa mm nina ukimwi yeye asingeweza nivumilia ningeshakimbiwa kitambo tu.
images%20-%202022-07-26T185240.534.jpg
 
Nkamwambia ajiskie kawaida kwanza ukimwi sio ugonjwa ila niuzushi tu wa wazungu, HIV nikama bakteria tu waliopo kwenye maziwa mgando hivyo asiwe na shaka
Sio unampa moyo unampa ukweli
Kama anaweza kubadili diet awe vegan matunda na mboga za majani tu, mixer mazoezi kwa mwezi mmoja tu anakuwa mzima wa afya,
Hamna kitu kinaitwa kirusi wajinga ndo waliwao
 
Sidhani kama itasaidia kuelezea hapa mkuu. Ila kwavile wewe una wasi wasi, basi ongea nae vizuri, kwa jinsi ambavyo umekuwa nae karibu kwa muda mrefu, atakuelewa tu.
Niambie nimwambie vipi bila kugusa ugonjwa alionao, yaani inabidi nimwambie bila kujua hicho kitu kinahusiana na ugonjwa alionao
 
Back
Top Bottom