hivi wataka kuniambia kujiita HIV+ NI KUJIKUBALI? je utatofautishaje yule anaye jiita simply kwasababu ameathirika na hana jinsi kwenye kundi la wale wanaoojiita baada ya kukubali hali halisi?At the risk of recording a third person self narration that's criticising a critique of my critique....
Kiranga hawezi kuwa critique kwani critique ni kitendo, wala si mtu, labda ulimaanisha "critic".
Ukweli unabakia pale pale, huwezi kumfariji mhanga wa ubaguzi wa waafrika kwa kumwambia aache kuvaa nguo za kiafrika zinazomtambulisha yeye kama muafrika. Hii si faraja, to the contrary ni kuendeleza unyanyapaa.
Unachotakiwa kumwambia ni kwamba uafrika wake ni sehemu ya utu na anatahaminiwa.
Vivyo hivyo, huwezi kumfariji mtu aliye HIV+ kwa kumwambia abadili hilo jina la HIV+ (Jambo amabalo litakuwa kinyume na nia yake ya ku raise HIV awareness).
Tunachotakiwa kufanya ni kumwambia kwamba bado tunampenda hivyo hivyo kama alivyo hata kama hatabadilika, kwa sababu wenye HIV+ nao ni watu wenye mchango katika jamii.
Tukimwambia abadili jina ni kama vile tunamwambia kwamba HIV ni mkosi, inapunguza utu, inatakiwa kufichwa na isionyeshwe, kitu ambacho ni kinyume kabisa na spirit yake ya kufunguka na ku raise awareness aliyotuonyesha hapa.
Kuna watu wakiwa kwenye ile kitu hawaambiliki tena atakwambia nipe tu hivyo virus navitafuta sana,ngoma akimaliza full maswali eti ulisema nini wakati ule!!!!!!Haponi mtu ni Mungu anatulindapole sana dada . sasa kama mtu akitaka kavu kavu ukimwambia kuwa wewe ni mwathirika bado ataendelea kutaka tu???
Kila mtu atakufa! Full stop!!!
ahahahhahahhahha uzee kasema nani siku moja moja kujirusha sio mbaya mwayego!
nahisi nakijua hicho kijiwe!! Kipo karibu na mitaa ya kwangu simbali kivileeeeeee bisha, hebu twende pm tupeanapo new vijiwe vya kujiliwaza, lol!sasa hivi viwanja vimebadilika lol! Kuna sehem nzuri acha kabisa wewe yaani ni full misosi na mamvinyo ya kufa mtu. Ngoja nikamilishe kaz nitakualika mahali hutoamini. Btw nakumbuka ulinikatili hamu yangu ya kwenda kunywa chai na wewe umesahahu enh?
This time kuna coffee bar moja matata mahali hakya mungu lazima uende hata kwa fimbo lol?
Wee mwana....
At the risk of recording a third person self narration that's criticising a critique of my critique....
Kiranga hawezi kuwa critique kwani critique ni kitendo, wala si mtu, labda ulimaanisha "critic".
Ukweli unabakia pale pale, huwezi kumfariji mhanga wa ubaguzi wa waafrika kwa kumwambia aache kuvaa nguo za kiafrika zinazomtambulisha yeye kama muafrika. Hii si faraja, to the contrary ni kuendeleza unyanyapaa.
Unachotakiwa kumwambia ni kwamba uafrika wake ni sehemu ya utu na anatahaminiwa.
Vivyo hivyo, huwezi kumfariji mtu aliye HIV+ kwa kumwambia abadili hilo jina la HIV+ (Jambo amabalo litakuwa kinyume na nia yake ya ku raise HIV awareness).
Tunachotakiwa kufanya ni kumwambia kwamba bado tunampenda hivyo hivyo kama alivyo hata kama hatabadilika, kwa sababu wenye HIV+ nao ni watu wenye mchango katika jamii.
Tukimwambia abadili jina ni kama vile tunamwambia kwamba HIV ni mkosi, inapunguza utu, inatakiwa kufichwa na isionyeshwe, kitu ambacho ni kinyume kabisa na spirit yake ya kufunguka na ku raise awareness aliyotuonyesha hapa.
At the risk of recording a third person self narration that's criticising a critique of my critique....
Kiranga hawezi kuwa critique kwani critique ni kitendo, wala si mtu, labda ulimaanisha "critic".
Baada ya kuusambaza ndio umepata busara sio?
Umelewa.....
afu ushapiga sana kavu wewe,,hizi safari sio maji ndugu yangu,,,ndio maana ya kuambiwa mnywe kwa utaratibu
And "Critic" he is :A S shade:
Habari zenu wana jamvi.
HIV+