Maisha ni uhalisia kwa nini upoteze muda katika mafikirioKwenye haya maisha watu hutofautiana experience zao za kimaisha kila mmoja anaweza kuongea la kwake kutokana na experience yake, ndio maana pia tunasema maisha sio ya kuyakariri.
Ndio kabisa Maisha ni uhalisia na ndio maana watu hutofautiana experience zao kwenye uhalisia wa maisha, alichopitia A na kikamjenga kuwa hivyo alivyo sasa hivi haina maana B naye atapitia humo humo.Maisha ni uhalisia kwa nini upoteze muda katika mafikirio