Roman Catholic na Adolf Hitler walivyoua mamilioni ya watu

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,411
Adolf Hitler na kanisa la Romani Katoliki.

Kanisa la Katoliki lilishiriki katika Ukomunisti na Usosholisti na kumtumia Adolf Hitler kuua mamilioni ya Wayahudi, Wakristo na watu wengine mbalimbali. Kama kanisa Katoliki lilivyoua Wayahudi, lilimtumia pia Adolf Hitler kuua Wayahudi, kama Hitler mwenyewe anavyosema wazi katika maelezo yafuatayo:

“Hitler pia alikuwa tayari kuzungumza na Askofu maoni yake juu ya swala la Wayahudi: “Kwa upande wa Wayahudi, ninaendelea na sera ileile ambayo kanisa la Katoliki lilichukua kwa miaka mia tano, wakati lilipowaona Wayahudi kama watu wa Hatari na kuwasukumia katika mageto (ghettos) nk, kwa sababu lilijua jinsi Wayahudi walivyokuwa. Mimi siweki mashindano juu ya dini, lakini ninaona hatari kwa wawakilishi wa mashindano haya ya Kanisa na Serikali, na labda ninafanya Ukristo kuwa huduma kubwa.” —(Adolf Hitler, akinukuliwa katika “The Nazi Persecution of the Churches” by J.S. Conway, Pgs. 25, 26 & 162).

Hitler alikuwa mkatoliki, na hadharani alikiri kwamba: “Mimi sasa niko kama nilivyokuwa hapo kabla Mkatoliki na daima nitabaki hivyo” — (Adolf Hitler in 1941 to General Gerhart Engel. In John Toland (1992). Adolf Hitler. New York: Anchor Publishing, p. 507)).

Adolf Hitler alikuwa kiongozi mkuu wa majeshi ya Nazi huko Ujerumani, na katika utawala wake alitetea roho ya ushirikiano kati ya taifa lake na dini ya Ukristo. Katika Hotuba yake huko mjini Berlin mwaka 1933 Hitler alisema:

“Serikali ya Taifa itauona kama wajibu wake wa kwanza na wa muhimu sana kufufua katika taifa roho ya umoja na ushirikiano. Itahifadhi na kutetea kanuni hizo za msingi ambazo taifa letu limejengwa. Itaujari Ukristo kama msingi wa uhai wa taifa letu.” — (My New Order, Adolf Hitler, Proclamation to the German Nation at Berlin, February 1, 1933)

Kumbuka: Sababu ya Hitler hapa kuulinda Ukristo, alikuwa haulindi Ukristo kwa vyovyote, bali alikuwa analilinda kanisa la Katoliki kama mwenyewe alivyothibitisha wakati aliposema kwamba: “Hivyo Kanisa Katoliki liko salama zaidi kuliko hapo awali. Inawezekana kutabiri kwamba, kama matukio ya kupotea yatatoweka mbali, [kanisa katoliki] litakuwa kama mwanga wa beacon katikati ya vipengele hivi vinavyopotea, likiwavutia wafuasi vipofu katika idadi ya kuongezeka.” — (Adolf Hitler alinukuliwa katika Leo Lehmann’s– Behind the Dictators, p 26).

Unaweza kujiuliza Kwanini Hitler anasema kanisa katoliki sasa liko salama zaidi, tena anaongeza kwamba wafuasi wa kanisa wanaozidi kuongezeka humo ni vipofu? Kwa sababu Hitler alijua kanisa katoliki lilikuwa ni uongo na udanganyifu, kwa sababu lilikuwa likifanya mauaji na kumtumia yeye kuua mamilioni ya watu, Hitler alihitimisha jambo hili wakati aliposema kwamba Ukristo ni dini ya wauaji na imechafua dunia kwa sababu alijua Upapa ulikuwa ukifanya mauaji, akasema: “Sababu ya kwanini dunia ya kale ilikuwa safi sana, angavu na tulivu ni kwamba haikujua chochote kuhusu wauaji wawili wakubwa: ndui na Ukristo!” “Ukristo ni mfano wa Ukomunisti wa Bolshevik: uhamasishaji kupitia Myahudi wa makundii ya watumwa kwa sababu ya kudhoofisha jamii. Hivyo mtu anaelewa kuwa vipengele vyema vya ulimwengu wa Kirumi vilikuwa ushahidi dhidi ya mafundisho haya.” — (Adolph Hitler, (Mazungumzo ya Jedwali (Table Talks) kama yalivyoandikwa Na katibu wake mwenyewe))

Taifa la Ujerumani pamoja na viongozi wake walijidai kufanya kazi ya Mungu kwa kuua watu. Hata katika vitasa au vifungo vya mikanda ya wanajeshi yaliandikwa maneno ya kijerumani “Gott Mit Uns” yanayomanisha “Mungu Pamoja Nasi” .

Sasa inajulikana kwamba Hitler alikuwa mkatoliki kama yeye mwenyewe alivyokiri wazi wazi, na hakuna papa wala kuhani yeyote wa katoliki aliyewahi kumwambia au kusema vitendo anavyofanya si vya haki. TV ya Katoliki ya EWTN mwaka 2010 wakati walipokuwa wakijitetea kuhusu jambo hili ilisema: “Papa hakumtangaza kwa umma Hitler kwa sababu kama angefanya hivyo ingesababisha Hitler kuwa mtu mbaya.” — (EWTN’s “Apologetics” on 06-18-10 @ 4:07pm EST). Lakini ukweli Hitler alikuwa tayari ni mtu mbaya, sababu ya papa kukaa kimya siyo nyingine yoyote, ila papa na Hitler walikuwa na ajenda moja kama tunavyoenda kuona.

Hitler alisema: “Haijawahi kuwa na kitu kikubwa zaidi duniani kuliko jumuiya ya kimsonge ya Kanisa Katoliki. Nilihamishia mengi ya jumuiya hili kwenye chama changu mwenyewe.” -Adolph Hitler – (The Nazi Persecution of the Churches” by J.S. Conway – Pgs. 25, 26 & 162).

Adolf Hitler alikuwa kiongozi mkuu wa majeshi ya Nazi katika Reich ya tatu, kuna ushahidi mwingi kwamba kanisa katoliki lilipata nguvu katika Reich ya tatu wakati wa utawala wa Hitler, chanzo kimoja kinasema: “Reich ya tatu ni nguvu ya kwanza ya ulimwengu ambayo sio tu inakubali lakini pia inaweka kanuni za juu za upapa”. — (Robert d’Harcourt wa Chuo cha Kifaransa: “Franz von Papen, l’homme a tout faire” L’Aube, 3rd of October 1946) Edmond Paris – The Secret History of the Jesuits)). Chanzo kingine kinaonyesha ukuu wa kanisa Katoliki katika Reich ya tatu kinasema: “Heshima ya Prussia ya Kiprotestanti ilitakiwa kuzuiwa na kama Reich ilipaswa kuitawala Ulaya—ili kuepuka utawala wa Wajerumani—Reich ilipaswa kuwa upya ambapo Wakatoliki watakuwa mabwana” —(Edmond Paris – The Secret History of the Jesuits)

Adolf Hitler alikufa tarehe 3 May 1945, jarida moja la “Reform” linalomilikiwa na dikiteta wa Kihispania (Franco), siku hiyo lilichapisha tarifa kwamba: “Adolf Hitler, mwana wa Kanisa Katoliki, alikufa akipigania Ukristo. Kwa hiyo inaeleweka kwamba maneno hayawezi kupatikana kwa kuomboleza juu ya kifo chake, wakati wengi walipatikana wakiinua maisha yake. Juu ya mabaki yake ya kufa husimama takwimu yake ya ushindi wa maadili. Kwa mkono wa mauaji ya imani, Mungu humpa Hitler mashindano ya Ushindi” -(“Reforme”, 21st of July 1945; Edmond Paris – The Secret History of the Jesuits). Hivyo hata madikiteta wenzake walijua kwamba Adolf Hitler alikufa akipigania imani ya katoliki.

Kanisa katoliki kama lilivyoua wakristo zaidi ya milioni 100 kwa miaka 1260 ya unabii, tena kuna uwezekano mkubwa kwamba kanisa Katoliki lilimfundisha Mohhamed, na likavumbua dini ya kiislamu ili kuendeleza mauaji dhidi ya Wakristo, na ushahidi usio na shaka kwamba lilimtumia Hitler kuua mamilioni ya watu. Hata papa alimwambia mfalme wa Ujerumani kwamba kanisa katoliki lingeitumia Ujerumani kama upanga wake kuua wapinzani wote:

“Papa aliniambia. . . kwamba Ujerumani lazima iwe upanga wa Kanisa Katoliki.” — Kaiser Wilhelm II Mfalme wa Ujerumani akimnukuu Papa Leo XIII. Leo Lehmann’s – Behind the Dictators p. 22

“Ilikuwa ya manufaa kwangu kwamba Papa aliniambia wakati huu kwamba Ujerumani lazima iwe upanga wa Kanisa Katoliki. Nilisema kwamba Ufalme wa zamani wa Kirumi wa taifa la Ujerumani haukuwepo tena, na hali hiyo ilikuwa imebadilika. Buthe alikamatwa na maneno yake.” –Kaiser Wilhelm II juu ya Papa Leo XIII, alinukuliwa katika Leo Lehmann – Behind the Dictators p 22.

Angalia picha zifuatazo hapo chini ambazo zinathibitisha kuwa Hitler na kanisa katoliki walikuwa wakishirikiana kabla ya, wakati wa, na baada ya vita ya pili ya dunia

images%20(1).jpg
download%20(2).jpg
 
Bora sisi Mambo ya miaka 200AC ninyi hata kesho Al shabaab na Niko Haram mkiamua mnaua watu. Na huenda hao waliouawa walikuwa tishio kwa ulimwengu. Ninyi mnaua innocent people.
 
Tatizo wakirito uwa ajibu hoja zaidi mtaanza kuzua mambo ambayo ayahusiani mala majini njooni hapa mjibu hoja
 
Bora sisi Mambo ya miaka 200AC ninyi hata kesho Al shabaab na Niko Haram mkiamua mnaua watu. Na huenda hao waliouawa walikuwa tishio kwa ulimwengu. Ninyi mnaua innocent people.
Wewe kama mkirito unakubali au unapinga mbona sikuelewi?
 
View attachment 2596091View attachment 2596092
Nafikiri umetafuta nakala ukaisoma tu kichwa kichwa unajua nani alikomesha ukomnist? Papa Ioannes Paulus ii ndie aliekomesha ukomnist na hiyo ni Kwasababu Poland ilikua sehemu ilioteseka sana kwa utawala wa kikomnist pia unachotakiwa kujua Adolf Hitler Aliwahi hata kuwatesa Papa Paul ii na hata huyu wa sasa wala hakuwahi kua rafiki wa ukatoliki pia kasome history vizuri ujue ukristo na Ukomnist ulivyokua unapingana tangu mwanzo mwa ukomnist Hitler aliwapiga wayahudi Kwasababu Wayahudi walikua chanzo cha nguvu ya nchi alizopigana nazo kama Hurusi na Australia, Marekani na ufaransa wewe rudi shule tena ukasome uliofundishwa na waliokudanganya.
 
Back
Top Bottom