Historia ya maisha yangu

Tunasubiri mrejesho baada ya kufanya hayo,unayoamini ndio njia sahihi.ila angalia usije ukaja na thread ya season 2,ya kilio Cha majuto.halafu nikukumbushe ,pesa inauwezo wa kufanya zaidi ya hayo unayotaka kwenda kufanya.mwenzio ana hela ,na ww huna.NB.......Mungu pekee ndio anaweza kutoa pigo takatifu la kisasi ambalo likitua halimuachi mtu salama ,iwe wewe au yeye.
 
Tell you what Wangari... i fall for you every now and again😍😍😍 Nimekupenda... you are the finest!
 
Daaa pole saana huenda uko sawa
 
Sasa si uende huko Katavi, mbona unapoteza muda kutuandikia mavitu mengi wakati ushaamua unataka kwenda kupiga ramli...

Mwanzo nilidhani waandika uzi labda watafuta ushauri fulani
 
Unafikiri Mungu ndiyo anauendekeza huo ujinga wa kuzalisha mwanamke kisha unatelekeza mtoto
Hebu soma vizuri stori pale juu...

Rudia mistari walipotaka kutafuta mtoto, nani aliyesimamia shoo...(mwanaume au mwanamke?)


Someone was desperate here, si ajabu pia yeye ndio aliyemtongoza huyo mwanaume
 
yule mama alikuwa kauzu sana. Ila cha ajabu mbeleni alikujaga kuwa mtu muhimu sana kwangu, na sitoweza kuja kumsahau. Pengine huko mbeleni naweza kuja kuelezeaga the other side of my life.
 
yule mama alikuwa kauzu sana. Ila cha ajabu mbeleni alikujaga kuwa mtu muhimu sana kwangu, na sitoweza kuja kumsahau. Pengine huko mbeleni naweza kuja kuelezeaga the other side of my life.
Katika watu story teller humu ni ww..hebu siku uje ueleze aisee...hongera..unaonakena unashukuru hata kama kwa kidogo na kujali
 
Tatizo mzee kanambia nitulie kwanza akamilishe kazi,manake huyu bwege naye anahangaika,Ila lazima tumdhibiti,nimeshtak kwa wazee wamesema Kama ni kweli itajibu tu,na ishu ni kwel so asubiri mlio,katavi hakudanganyi.
Basi kama mzaz mwenzako naye anahangaika bas atafeli..mm najua uchawi ukiuendekeza unakupata usipouendekeza walaaa....ika utuoe majibu jaman tuje tusikie radi zimepiga dar🗯
 
Katika watu story teller humu ni ww..hebu siku uje ueleze aisee...hongera..unaonakena unashukuru hata kama kwa kidogo na kujali
Moyo wenye shukrani na kuridhika, ni moyo wenye furaha sana.

Usijali mkuu, time ikiruhusu lazima niangushe madini humu ndani. Maana napendaga nikianza tu, nitiririke hadi mwisho bila kuweka vituo virefu kama anavyotufanyia Kipepeo wa chuma1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…