Historia ya maisha yangu

Mkuuu...Mimi Sina Mume Sina mtoto...na Sina hela[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..

Ndo maana nakwambia UNIFANYIE udalali huko kwa mganga wako....nikitumie angalau jina namimi unirogeeee[emoji3][emoji3][emoji3]

Wallahi life is hard
Hapana watakiwa kuripot mwenyewe,Ila unaenda ripot Nini Sasa ikiwa hata mtoto huna,huna mume,huna alokukosea,unaenda ripot Nini?
 
Hapana watakiwa kuripot mwenyewe,Ila unaenda ripot Nini Sasa ikiwa hata mtoto huna,huna mume,huna alokukosea,unaenda ripot Nini?
Mkuuu walonikosea Ni wengi Sana ...Ila Mimi nshakosea wengi pia... Labda waliniroga...Mimi haya Mambo ya kurogana sitaki yawe part ya Maisha yangu....

Kama KWELI nimedhulumiwa...Basi naomba Dua kwa Allah....

Lakini sipendi kuombea watu mabaya... Sipendi kabisa...najikataza sana
 
Unajuaje..inamaana Kuna watu wanakupa.taarifa?... Au ndo unaangalia kwenye kioo Cha mganga wa katavi....?

Elekeza nguvu kwenye Mambo ya msingi
Sasahivi hili ndio Jambo langu la msingi hahahah mzee ana dstv anaona klia bila chenga 🤣
 
Sawa ukipata mtoto halafu mtu akapanga kumdhuru utaelewa,inaumaaa.
 
Aisee uzi umeisha umemaliza kila kitu mkuu... awa mm mke wangu nilimkuta na mtoto ila yule mwamba alumkataa mtoto now dogo ni Private wa Jeshi na jeshini nimemuingiza mwenyewe juzi ananiambia baba nikifikisha miaka miwili nachukua usafiri nikamwambia jenga kwanza chaa ajabu nimemlea yule mtoto kuanzia akiwa na miaka 3 mpaka saizi ni mtu mzima ana miaka 22 ana ajira yake juzi baba mzazi wa yule dogo kanipigia mm anataka tuongee mana dogo apokei cm za baba ake wala hataki kuongea nae analia yule jamaa anasema mtoto wake amjali ananijali mm tu na mama ake aisee aya mambo yapo chamsingi dada angekausha tuu amlee mtoto wake mwenyewe why angaike na uyo jamaaa aisee ni aibu kwa kweli...unapiga cm cjui ada cjui nn uyo jamaa ajui kama ana mtoto ajui majukumu yake dah ni tabu kwa kweli...
 
Safi nzuri iyo...
 
Kipepeo WA chuma ukiachwa achika using'ang'ane kama ruba
Soma uelewe Uzi usiparamie mwendokasi dogo,unadhan kila mtu anaishi manzese kwa mfuga mbwa akishindia miguu ya kuku?nafanya kwa heshima ya mwanangu🤣wamechokoza katavi na ngende 🤣🤣
 
Tatizo wameenda kutaka kumkausha mwanangu,mbona nilikausha kitambo nikawa nahangaikia yangu,kinyago nilichokichonga hakinitishi.
 
Soma uelewe Uzi usiparamie mwendokasi dogo,unadhan kila mtu anaishi manzese kwa mfuga mbwa akishindia miguu ya kuku?nafanya kwa heshima ya mwanangu🤣wamechokoza katavi na ngende 🤣🤣
Story yako nimeisoma vizuri sana,kusema kweli huyo jamaa itakuwa alikuwa hakupendi sema ni vile ulimkuta na shida zake nyingi akawa hana namna zaidi ya kujibanza na ww.....
Alafu punguza hasira na sisi tunazo vile vile
 
Ngoja niingie Chachi one time,hata Muumba wangu anajua wamenichokoza na wamenitesa na mwanangu Sana,jasho langu kwake haliwezi potea bure,nilikausha,wameenda kuyafumua,Sasa tukutane kilingeni,itajulikana tu mshindi ni nani,na wazee wamesema hawataki hela yake hata shilingi Mia,tulishaomba Sana akagoma,Basi waendelee kugoma sio tunaenda shtaki kilingeni,mshana anaelewa.
 
Story yako nimeisoma vizuri sana,kusema kweli huyo jamaa itakuwa alikuwa hakupendi sema ni vile ulimkuta na shida zake nyingi akawa hana namna zaidi ya kujibanza na ww.....
Alafu punguza hasira na sisi tunazo vile vile
Sijataka anipende nilitaka alee mwanae tu,akagoma,nikapotezea,Sasa kutaka niulia mwanangu,hapana nitakuwa mzembe!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] nakupinga wapi role model


Ila Sasa hivi Hana hela Sasa siunasikia kuwa kazi alisimamishwa
Akidate na mimi kazi lazima apate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…