JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,967
kwa hiyo PM alipotoshwa, siyo?Wakiwa na nyuso za bashasha kabisa watu hawa wakiwa wamebeba masalia ya marehemu![]()
makabidhiano ya ushahidi wa kifo cha marehemu mbele ya kiranja mkuu![]()
kwa hiyo PM alipotoshwa, siyo?Wakiwa na nyuso za bashasha kabisa watu hawa wakiwa wamebeba masalia ya marehemu![]()
makabidhiano ya ushahidi wa kifo cha marehemu mbele ya kiranja mkuu![]()
Mkuu,watch your back!Hiv huyu John hawezi kweli kuwa anatoa dalili za ile ndoto ya Lema?
cc Pascal Mayalla
Hiv kwanini kaitwa??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Halifichiki pembe la faru[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio vizuri kumsema marehemu hasa kwa ubaya ama madhaifu yake
Kwahiyo ofisi ya pm inazifanyia nini?kutengeneza Viagra
vip mwanamke akiing'atapembe za faru znajulikana,test yake ni kuing'ata,ukiing'ata lazima uume usimame,sema sijajua kama pale kiranja alitest au kabeba tu
Papuchi inaanza kupumua na kutoa majivip mwanamke akiing'ata
Mmesababisha nionekane chizi fuleshi hapa nilipo kwa kucheka peke yangu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Papuchi inaanza kupumua na kutoa maji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mkuu leo tunaongeza afya ni mwendo kucheka tu,
shemeji yako akaniuliza mbona unaangalia sim afu unacheka?
Nikamwambia kuna taarifa ya msiba. Na yeye akafungua yakwake akaanza kucheka.
Kwani kuna damu zingine zinapotea na hela?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115]Damu ya Marehem Haipotei Bure
ha ha ha ha ha... mshana tulia tuli kama maji ya mtungini we si ulisema vinawenyewe! na wenyewe ndio sisi cool down cool down..
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470]