Historia fupi ya marehemu

Utafiti wa Wanaweza unaonesha...ameacha mama wajamzito 10..R.i.p in advance the fallen hero faru john
 
Wakiwa na nyuso za bashasha kabisa watu hawa wakiwa wamebeba masalia ya marehemu
8903ac17d97da180d67c386c9469fbd1.jpg

51c09eb73c45d95de257efc97a35e0cc.jpg
286ccca62b7f14f030be919e3fb2670a.jpg
makabidhiano ya ushahidi wa kifo cha marehemu mbele ya kiranja mkuu
Marehemu bado tulikuwa tunamhitaji sana n.a. pengo halizubiki ndio maana tumeamua kufanya uchunguzi upya kuhusu kifo chake isije ikawa alipotezwa makusudi.
 
Back
Top Bottom