Kumbeendo asili yake mkuu,hzo si ndo malighafi ya vile vidonge vyenu huwa mnameza kabla ya show kali ya kitandani
ha ha ha ha ha... mshana tulia tuli kama maji ya mtungini we si ulisema vinawenyewe! na wenyewe ndio sisi cool down cool down..
Sawa tu maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai! ntawaongezea na joni wawiliNa ng,ombe 12 uje nao![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamaa wamempelekea mkuu death certificate ya blaza JohnWakiwa na nyuso za bashasha kabisa watu hawa wakiwa wamebeba masalia ya marehemu![]()
makabidhiano ya ushahidi wa kifo cha marehemu mbele ya kiranja mkuu![]()
halafu wanacheka etiJamaa wamempelekea mkuu death certificate ya blaza John
mshana jr hivi Blaza John kafa na ugonjwa gani wa zinaa?Uhuni umemponza John
KhaaKosa LA marehemu hakuvaa kondom!
inasikitishahalafu wanacheka eti
Mmh kwa kweli ni kipindupindu maan si kwa uharo huoHapana ni diarrhoea ya kipindupindu![]()
Ha ha ha ha haa. Mjomba mshana bwana.Malizia arikohori vitasa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()