Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,810
- 831,017
- Thread starter
- #21
Kumbe alikuwa memba wa CHAWAPUTA bana sema hakushtuka kama kuna ya nzi wala ya kamba ikabidi apige tu ya jiwe, mbaya zaid baada ya kuendekeza hiyo tabia akajikuta jongoo wake kupanda mtungi ni mpaka apate buster na akaamua rasmi kujiita 'John delicious' dah! R.I.P![]()
![]()
sio vizuri kumsema marehemu hasa kwa ubaya ama madhaifu yake