Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,541
- 1,582
Noo! Juzi kati kuna majadiliano yaliendeshwa na Television fulani sambamba na redio1, jamaa alikuwa akimsifia sana Magufuli... sasa yeye badala ya kusifia uliopo anasifia uliopita aisee hakucheck alama zanyakati......uswahiba na hayati
...kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa
...KUZUIA HATI YA MAGUMASHI YA ENEO LA WAZI PALE SHIMO LA UDONGO ILIYOKUWA YA MKE WA MUSTAAFU NA MFANYABIASHARA AMBAYE AMEKUWA MAARUFU SANA KWA SASA HASA UPANDE WA MPIRA
Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na kipenzi cha baadhi ya waTz.
Onyo: Sijata jina naomba andiko hili mods mliache.