Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

Sky Eclat usilolijua ni kama uthiku wa giza novena ndio nini?

Walilazimishwa kusali novena? Nijuavyo shule zote za kawaida, including vyuo ambavyo viko chini ya Kanisa Katoliki, wanafuta secular approach na hakuna anayelazimishwa. Mfano ni St Augustine University, CUEA University in Kenya, etc.
 
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili

Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.

Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?

Haki itendeke kote

Hivi wale ma "nun" wakiwa wanasoma shule hizohizo wanavuwa hijab zao?
 
Nidhamu ya mwanamke anatakiwa ajistiri mwili wake wote pamoja na kichwa kifunikwe, jiulize kwanza masista kwa nini wanavaa hijab? Uislamu haulegezi makatazo yote yanasimamiwa ipasavyo
 
Kuna shule nyingi nnazijuwa watoto zetu wa kike wanalazimishwa wakate nywele kinyume na maamrisho ya Kiislam.
 
??? Za nn yap mm nilimpeleka shule ya wasabato kwa kuwa mwanangu alikuwa slow na walikuwa wanafundisha vizur sana ....baba yake alikubal kishingo upande kwa shart asiingie kanisan kipind cha din shule walikubal but na mtt akawa anafaulu vyema ,, sasa watt wakiimba n nyimbo za din wakifanya chochote kile n yesu ...siku baba yake alipomsikia sasa anasema yesu wangu na mbaya zaid alipomhoj akawa anasema tunafundishwa hivyo ikawa ndo mwisho wa shule akahamishwa.....
 
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
.
Sky, sometimes huwa unaongea mambo mazito. Kikanuni shule zote ambazo sio seminari zinapaswa kuheshimu uhuru wa kuabudu wa kila mwanafunzi.

Kama Ali ni mwislamu anasomea St. Anthony's Sec School, siku ya JUmatano ya Majivu haimhusu. Kusali sala za asubuhi katika paredi moja kwa kutumia Biblia au Misale ya Waumini Katoliki hakuruhusiwi.

Hata hivyo, haya yanafanyika kwa kuwa serikali haijayawekea katazo lenye mkazo. In fact, niliwahi kufundisha shule moja, ambako nilisikia Headmaster anasema Baba Askofu amemwambia walimu wote wawe wanasali na wanafunzi Jumapili.

Nilimcheka sana HM na Askofu wake, tena huyu askofu ni PhD holder. Haki zinapiganiwa....
 
Mbona hamkimbilii kwa wenzenu mnakimbilia ulaya
Lugha gongana. Ww hujamuelewa mwenzio. Najua hapo ww ni mkristo na ulidhani wamjibu mwislamu. Muwe mnasoma post kwa mtiririko uelewe kabla ya ku-quote. Okay dogo? Haya mpambano uendelee.

Mr. Observer
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
halafu utasikia ``Sheikh habari`` sijui nani kawaambia kila mtu ni Sheikh
 
Walilazimishwa kusali novena? Nijuavyo shule zote za kawaida, including vyuo ambavyo viko chini ya Kanisa Katoliki, wanafuta secular approach na hakuna anayelazimishwa. Mfano ni St Augustine University, CUEA University in Kenya, etc.
nimesoma shule ya kanisa,
kwenda kanisani ni lazima sio ombi,
ole wako ukutwe bwenini wakati wengine wako kanisani,utachezea stick za kutosha tu
 
Lugha gongana. Ww hujamuelewa mwenzio. Najua hapo ww ni mkristo na ulidhani wamjibu mwislamu. Muwe mnasoma post kwa mtiririko uelewe kabla ya ku-quote. Okay dogo? Haya mpambano uendelee.

Mr. Observer

Huwa sipendi neno kafir, ni matusi na derogatory term
 
Swala la kutaka watoto wa kikristo kuvaa hijab wanapojiunga na seminary za kiislam halafu watoto wa kiislam wanapojiunga na seminary za kikristo siyo sahihi kila mmoja anapokwenda kujiunga na mwengine aheshimu sheria alizozikuta la sivyo abaki kwake
Masista huvaa hijabu na wanapendeza kweli mbona hammaind?
 
Walilazimishwa kusali novena? Nijuavyo shule zote za kawaida, including vyuo ambavyo viko chini ya Kanisa Katoliki, wanafuta secular approach na hakuna anayelazimishwa. Mfano ni St Augustine University, CUEA University in Kenya, etc.
Hii ni primary school na wanaambiwa wasali pamoja.
 
.
Sky, sometimes huwa unaongea mambo mazito. Kikanuni shule zote ambazo sio seminari zinapaswa kuheshimu uhuru wa kuabudu wa kila mwanafunzi.

Kama Ali ni mwislamu anasomea St. Anthony's Sec School, siku ya JUmatano ya Majivu haimhusu. Kusali sala za asubuhi katika paredi moja kwa kutumia Biblia au Misale ya Waumini Katoliki hakuruhusiwi.

Hata hivyo, haya yanafanyika kwa kuwa serikali haijayawekea katazo lenye mkazo. In fact, niliwahi kufundisha shule moja, ambako nilisikia Headmaster anasema Baba Askofu amemwambia walimu wote wawe wanasali na wanafunzi Jumapili.

Nilimcheka sana HM na Askofu wake, tena huyu askofu ni PhD holder. Haki zinapiganiwa....
Mkuu sipendi sana kuongelea mambo ya dini pamoja na hayo Wayahudi, Wakristu na Waislam wote tunamwamini Mungu mmoja, hata nikikaribishwa chakula na yeyote kati ya hawa sina matatizo ila wale wanaoamini ng'ombe na bhuda huwa niko very conscious kuwa nao.
Ninakumbuka tukiwa wadogo kuna wadada nilisoma nao shule ya Roman Catholic, mama yao alikuwa mkristo baba mwislamu, walikubaliana watoto watachagua dini wenyewe wakikua, basi baada ya ile miaka saba ya primary school watoto walimwambia baba aendelee wao wanabatizwa. Shule kunajenga sana Imani.
 
Back
Top Bottom