Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

Nakubaliana na ww kuwa taasisi za kikristo zina elim bora ,,, ila tatizo nikuwa mwislam akiwepo analazimishwa kuvua hijab na pia analazimishwa ajifunze mafundisho ya kikristo jambo linaloenda kinyume na uislam ,,, ndio maana wazanzibar hawapendi kuwaleta wanao bara ,,,,
wenzako wako kwenye misheni,waliambiwaga wakabatize dunia nzima,ndo maana wanapenda kurubuni watoto kwa kuwapa mafundisho yao,
kule israel walikwenda wamishenery kibao wakaanzisha na mashule wakawa wanafundisha imani yao kwa watoto,waisrael kuja kushituka wakapitisha sheria kali bungeni,ukipatikana pastor ama mchungaji unamhubiria mtoto wa kiyahudi na ama kumpa zawadi ya bibilia,unakula mvua 5 jela na faini kali ya shekel kibao
 
Nani kashupalia? kwa taarifa yako mimi sio muislam, na muislam avae hijab shuleni sijali kwa kuwa ni imani yake na hainipunguzii kitu
Kuna watu wanashughulikia mambo hayawahusu ndewe wala sikio, hayawaongezei wala ya hayapunguzii, basi tu yeye ni ile roho ya (korosho au alama yakuuliza alama ya ? kwa nini) ni ajabu kubwa ya akili za wengine.
 
........wakwangu kapewa mpaka uwanachama wa ukwata, na vyeti vingine kibao. Alipomaliza na kuingia chuo tu, nikamwambia misalaba na habari ya Yesu imeishia hapo.
Atleast ww ulikua muelewa ukajua umuhimu wa elimu na dini ukaiendeleza sio hawa wengine wasiokuwa na uelewa
 
Waumini wa Dini ya kikiristu hawana vazi rasmi kwa wanawake, wangekuwanalo seminary za kiislam zisinge wakataza kuhudhuria masomo na mavazi yao ya kikiristu
Ndio hawana. Lakini kwanini uwalazimishe kuvaa wasiotaka?

Ni sawa kama Trump anavyosema mnajenga misikiti Marekani na ulaya lakini hamruhusu misikiti kujengwa uarabuni. Sio haki.
 
Ulevi wa dini za majahazi ni mbaya sana kwa miafrika mieusi kama nyie matokeo yake mnaleta utengano miongoni mwenu
Umeona eh! bora dini za mababu zetu walizoabudu mizimwi na kutoana kafara.
 
Kwa jinsi ulivyo andika unaonesha jinsi usivyo tambua nini maana ya dini na sababu ipi iliyopelekea kuwepo kwa dini, nimekushangaa umesema umeama dini iliyoletwa na wazungu alafu unaenda kwenye dini iliyoletwa na Waarabu hapo umenishangaza sana na kunifanya niamini kuwa hujui chochote kuhusu dini japo unajifanya mjuaji, labda pengine ungesema umeamua kuachana na dini ya wazungu na kurudi kwenye dini za Waafrika ambazo zilikuwepo toka enzi na enzi kabla ya kuja hao Waarabu na wazungu hapo ningekuona umefanya jambo zuri na maamuzi yenye busara.
Waafrika tulikuwa tuna dini pia?
 
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".

Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Wewe ndio ulishindwa kusema ukweli ili mtu akusaidie au la.sasa umesema ni watoto wa kaka ako na Paroko anajua wewe labda ni mkristo km wewe na huyo kaka ako. So paroko hana kosa na hawezi kujua ni mwialamu hadi aambiwe. Kisa chako kinatufundisha tusiwe waongo.
 
ki msingi ukristo ni dini ya kubumba tu, ni mawazo ya watu walikaa na kuitengeneza,hili ndo lilinipelekea nimeamua kusilimu juzi tu, how comes hata hao wazungu waliouleta kwetu Afrika wakatae kuufuata? tafadhalini ndugu zangu wa kikristo jaribuni sana kuisurvey dini yenu mtagundua ipo ki-dunia zaidi sio kumtafuta na kumjua Mungu
2:82 Quran wanawake ni konde zenu watumieni mpendavyo.....
Tafsiri yake imani hiyo inaruhusu mwanaume amuingilie mkewe tundu saba
Yaan tundu mbili za masikio
..... . tundu mbili za pua
.... .. ..mdomo
..........ukeni
........ Na kinyeoni
Je hii ndio imani iliyokufanya usilimu?
Moto unakusubiri tubu sasa
 
Mkuu kule wanafundishwa kila kitu. wanakula kitabu vizri na wanalijua neno la Mungu vyema.

Ushaona watoto wa Kikatoliki wanakuwa ******?
Kama kuna mtu mwenye upungufu mkubwa wa imani na akili,basi ni yule muislamu anaempeleka mwanae kwenye mashule ya hao wabaguzi,wenye kiburi na kujisikia.
 
Back
Top Bottom