Unajua shule kama Mazinde Juu Lushoto masista wanavaa uniform kama wanafunzi wengine. Kilemba wala hijab siyo sehemu ya uniform.Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
Unajua shule kama Mazinde Juu Lushoto masista wanavaa uniform kama wanafunzi wengine. Kilemba wala hijab siyo sehemu ya uniform.Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
KweliHao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Kabla ya kucheka na kudharau fanya uchunguzi Ku verify the truth,,,,Quran haikuandikwa as normal books ,, malaika jibril(Gabriel ) alimshushia mtume Mohammad s.a.w akipewa order kutoka kwa Allah ,,,,KUJIRIDHISHA KUHUSU HILO FANYA UCHUNGUZI BINAFSI ,,, hata nuhu aliwaambia watu wake kuhusu mungu wakamcheka na kumdharau,, ila kilichowakuta ni story tunaesimuliwa had sasaImeshushwa ......ha ha ha
Jibu la mtu lisikutosheleze kuamini kuwa huo ndio ukweli,,, kuna mwislam lkn ypo mbali na mafunzo ya dini yake,, so Ku prove ka nikweli Quran ilishushwa kwanza na malaika kabla ya kuandikwa fanya uchunguz huru ,,,,FANYA UCHUNGUZI KU PROVE JE NIKWELI QURAN ILISHUSHWA NA MALAIKA KABLA YA KUANDIKWA??Kubadili lugha hakupotez maana halisi ya neno
Kuna jamaa alinijibu vizur kwamba mnatumia lugha moja ili popote muendapo hata china waweza ingia msikitin wwt na mkaelewa
Yes nlimuelewa
Ila iman kitu kibaya sana
Kwaiyo.ww unaamin kwamba ikibadilishwa kwa kiswahili basi mnakosea allah (mungu)ah ah ah
Ila thanks sana kwa kuchangia,karbu sana pia ktk ulimwengu wa uhuru,vitabu vinaandikwa havishushwi
Mkuu heshima kwako, mkuu ukisema hakuna haja ya kusitiri kichwa au magoti hebu rudi nyuma halafu tafakari, hivi hujawahi kusikia watu wakisifia sauti ya mwanamke falani ilhali hawajamwona? hapa nakusudia ya kuwa kama sauti peke yake inaweza amsha hisia flani kwa mwanaume vipi kichwa kilichobeba sura ya kuvutia? vipi magoti ambayo kwako hayavutii? Sisi wanaume kila mtu ana kitu ambacho ndio sumaku yake kwa mwanamke, na hapo ndipo uislam ulipoamuru mwanamke na ajistir mwili.wake woote kwa kuwa kila kiungo cha mwanamke ni uchi.
Uko sawa maan ofci za kiislam kwa mkristo kupata kazi ni inshuuu
Kumbe sheria za Mungu tu ndizo kikwazo kwako
Kwani mkuu naomba nikuulize hivyo vitabu vyengine kama bible zaburi na injili vilifikiaje binaadam kutoka kwa mola wao? maana kicheko chako kama vile hukubaliani na kushuswa kwa kuran toka mbinguni!Imeshushwa ......ha ha ha
Mungu alileta amri na sheria, utaratibu wa binadamu wa kale waliojiwekeaKumbe sheria za Mungu tu ndizo kikwazo kwako
Ukitaka watoto wa kiislam wasivae hijab kwenye shule za kikristo kwa kuwa ni sheria basi kubali watoto wa kikristo pia wavae hijab kwenye shule za kiislam maana ni sheria. Usilete double standards hapa, Eboo!What do you mean mambo madogomadogo kama ni mambo madogo mbona mmekuwa mkiyashupalia hadi wizarani? kama ni mambo madogo msiwalazimishe watoto wa kikristo kuvaa hijab kwenye shule zenu na kutaka shule za kikristo kuvunja sheria zake kwa kuwaruhusu watoto wa kiislam kuvaa hijab kwenye shule za Kikrsto
Kwani nywele zinakuwa wapi ewe punguani?Wakate nywele za wapi bi Faiza?
Haahaaa wewe wa ajabu kweli mpaka salamu inakuumiza sa na wewe si uanze kusalimia kwa dini yako.kwani unaelewa maana ya "assalaam alaykum"ukiielewa utatamani kila mtu akusalimieHao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'

Na masista wavue vile vilemba vyaoHijab zivaliwe msikitini tu basi Hata kwenye public gathering zipigwe marufuku kabisa

Heee naona unabishia uzoefu ..Si kweli
hijab ni vazi la heshima hivyo msichana wa kikristo kuvaa ni sawa tuNimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Hilo nalo ni neno,masister wanavaa vitambaa kichwani kama hijab kama ilivyokua Yesu kristo alikia anavaa kanzuHivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
duh una hasira kama mbogo, kuna nywele za kichwani na sehem za siri, sasa wanawakata za wapi kama unavyosema?Kwani nywele zinakuwa wapi ewe punguani?
Huyo muislamu aliyeamua kwenda soma seminari za kikristo inabidi afuate kanuni zote za huko...si alipata muongozo na kanuni za shule? Na akakiri kuzifuata? Sio mtu anaamua kwenda soma huko halafu baadae anaanza kulialia mitaani na kwenye vyombo vya habari na wanaharakati nao wajazibika na kutaka kutembeza bakora!Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote