chrissleon
Senior Member
- Jul 22, 2015
- 147
- 89
OK! je Qur'an imetoka wapi?Uislaam siyo Dini ya Waarabu.
Katika Qur'an Mwenyezi Mungu anasema ametuumba 'rangi na kabila tofauti ili tujuane tu, na akatofautisha ndimi zetu (lugha).
je! ni lugha gani imetumika kuandika Qur'an ni lugha miongoni mwa Bantu au lugha ya kabila gani la Afrika?
Angalizo: Tafadhali naomba kabla ya kujibu maSwali yangu pitia Maelezo ya nyuma kabla ya kujibu ili kuepuka kuji contradict Mwenyewe asante.