Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

Kwa nchi hii hiyo salaam siyo kubadili dini tattizo lenu hiyo ya kwenu huwa hamtaki kutoa ufafanuzi ina maana gani?
mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?
 
Hivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
kuhusu masista Mungu aturehemu kuna kipindi miaka ya nyuma nlpangwa mapokezi nkajua jinsi gani masista wako vile, ni bora ukutane na asha ngedere na mwajuma tigondefu kuliko wao!
 
mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?
Una weza kusalimiwa kwa kiingereza pia, 'May peace be upon you' !
'Bwana Yesu asifiwe' ina maana gani ?! ....maana uoga, kuwa muongo pia ni sifa !
 
Mi ni mkristu ila sioni shida mtoto wa kiislam akivaa hijabu. Haina tatizo lolote

Kama seminary za kikristo, wawaambie tu wavae za Rangi flani ili kumechisha na sare za shule, kuliko kuwaambia wasivae kabisa
 
Kitu tunachoshindwa kuelewa ni kwamba, kwenye shule za seminary, iwe ya kiislam au kikristu, elimu ya dini ni sehemu ya Curriculum yao.

Hivyo mtoto wa kikristu anapoenda seminary ya kiislam (vice versa is true), itabidi ajifunze tu na somo la dini ya kiislam, hakuna nna nyingine. Huwezi kuvuruga utaratibu, ila inabidi kuufuata utaratibu.

Kwa hiyo km mtoto wa kiislam ukienda seminary ya kikristu, afuate kanuni anazozikuta pale. Sio kuzibadilisha ili ziendane na dini yake.
 
Je wakristo kwny shule za kiislam wanakatazwa kuvaa ROZARI(rozali)/MISALABA..!?
 
Mkuu kule wanafundishwa kila kitu. wanakula kitabu vizri na wanalijua neno la Mungu vyema.

Ushaona watoto wa Kikatoliki wanakuwa ******?
ha ha ha,sasa mbona hawajui umombo?,ukiwauliza wanasingizia eti walichukua sayansi,
mbona hatuna hata hao wanasayansi sasa?
 
Mkuu kule wanafundishwa kila kitu. wanakula kitabu vizri na wanalijua neno la Mungu vyema.

Ushaona watoto wa Kikatoliki wanakuwa ******?
Kwnz shule zao ndio znazoongoza ss cjui mtu anapinga nn hapo!
''..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima'' sawa kabisa...wapi wanaovaa mavazi ya heshima kati ya hao wanaovaa hijabu na wanaopita vichwa na mapaja wazi?
naomba tuelimishane mkuu bila hasira tuweze kuupata uzima wa milele pamoja
 
Una weza kusalimiwa kwa kiingereza pia, 'May peace be upon you' !
'Bwana Yesu asifiwe' ina maana gani ?! ....maana uoga, kuwa muongo pia ni sifa !
Sijajua uelewa wako upoje, nimekwambia sijadili maana hapa.
 
''..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima'' sawa kabisa...wapi wanaovaa mavazi ya heshima kati ya hao wanaovaa hijabu na wanaopita vichwa na mapaja wazi?
naomba tuelimishane mkuu bila hasira tuweze kuupata uzima wa milele pamoja
Kuna tofaut ya mtu anaekaa kichwa waz na mtu anaekaa mapaja waz so ww unainsist ueleweshwe kuhusu anaekaa mapaja waz au kichwa wazi?
 
Tatizo wenzetu mna katabia katabia ka kujitoa mhanga kwenye umati wa watu mkiwa mna outlook ya kidini mdo mana twashindwa kuwaamini amini vile tofauti na nuns.
.....hamjishangai nyie mlio mtoa mhanga 'mwana wa mungu' pale Golgota ili mpate kufutiwa dhambi ! Clueless14
 
ki msingi ukristo ni dini ya kubumba tu, ni mawazo ya watu walikaa na kuitengeneza,hili ndo lilinipelekea nimeamua kusilimu juzi tu, how comes hata hao wazungu waliouleta kwetu Afrika wakatae kuufuata? tafadhalini ndugu zangu wa kikristo jaribuni sana kuisurvey dini yenu mtagundua ipo ki-dunia zaidi sio kumtafuta na kumjua Mungu
Ya kiislam una uhakika gn ni ya uhakika? Acha dharau ziszokua na tija wewe
 
Back
Top Bottom