babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,751
Labda mtume Paulo. Huyu ndie anajisifu kuwa anamiminwaSuna ya mtume
Labda mtume Paulo. Huyu ndie anajisifu kuwa anamiminwaSuna ya mtume
Wakate nywele za wapi bi Faiza?Kuna shule nyingi nnazijuwa watoto zetu wa kike wanalazimishwa wakate nywele kinyume na maamrisho ya Kiislam.
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
at least you played your part hahaha
RC ukiweza tu kula mdudu hawana shida na wewe
Ndio maana tunasema, tatizo la wagalatia wa kitanzania ujinga, ushamba na roho mbaya au kwa kifupi elimu zenu hazijawasaidia ndio maana hilo linchi halisongi mbele kimaendeleo. Wakristo wa maeneo mengine hawafikiri kama nyinyi, tatizo ni nini kwenu?Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Haya ukinisalimia hivyo mimi natakiwa nikujibuje? maana ya hilo jibu ni nini!?Ndio maana tunasema, tatizo la wagalatia wa kitanzania ujinga, ushamba na roho mbaya au kwa kifupi elimu zenu hazijawasaidia ndio maana hilo linchi halisongi mbele kimaendeleo. Wakristo wa maeneo mengine hawafikiri kama nyinyi, tatizo ni nini kwenu?
Asalaam Aleykum (arabic) "How are you (english). Ni salaam tu hiyo katika lugha tofauti tu, hakuna dini wala, uislamu hapo. Sasa Bwana yesu asifiwe inafananishwaje na "how are you/asalaam aleykum"? Yesu ni Mungu kwa imani yenu, wapi ametajwa Mungu au Muhammad katika Asalaam Aleykum? Na kuthibitisha ujinga na upofu wa nyie ndugu zetu, wenzio wanakugonge "like" kwamba umeongea booonge ya point.
Hasara hii kwa Taifa letu.
.....hamjishangai nyie mlio mtoa mhanga 'mwana wa mungu' pale Golgota ili mpate kufutiwa dhambi ! Clueless14
kavue na za ma sista kanisaniNimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Una hakika kuwa hicho kilichofanywa ni sunna ya mtume
Hahahahaha sio Muhammad asifiwe????mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?
Tafsiri ya kawaida2:82 Quran wanawake ni konde zenu watumieni mpendavyo.....
Tafsiri yake imani hiyo inaruhusu mwanaume amuingilie mkewe tundu saba
Yaan tundu mbili za masikio
..... . tundu mbili za pua
.... .. ..mdomo
..........ukeni
........ Na kinyeoni
Je hii ndio imani iliyokufanya usilimu?
Moto unakusubiri tubu sasa
Hivi yule Samantha Lewthwaite alikuwa anavaa hijabu?Zinaficha magaidi
....pamoja na hayo Wayahudi, Wakristu na Waislam wote tunamwamini Mungu mmoja...
unabisha kama mtume hakupaka wanja/ina?Una hakika kuwa hicho kilichofanywa ni sunna ya mtume
Kwani kuna gharimu nini ukauliza kisha ukawa na maana iliyo sahihi ukijengwa ktk chuki huna utakalo jifunza zaidi ya chili tuuuu
Umeuliza vizuri sana. Jawabu lake ni "How are you too"; Wa-aleykum salaam! Wa means "na"/ same to you. Sasa watu sijajua kwanini hawataki kutumia elimu zao (hata hizi google) kujiongezea maarifa. Ndio nikasema ni hasara kwa Taifa.Haya ukinisalimia hivyo mimi natakiwa nikujibuje? maana ya hilo jibu ni nini!?