Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Polisi ufaransa wakilazimisha mama wa \kiislaam avue Hijjab !Nenda kasome petro 5:7 ili ujue nani wakumkabidhi huo wasiwasi wako ikiwa hujui pa kuupeleka halafu urudi hapa tujadili.
Polisi ufaransa wakilazimisha mama wa \kiislaam avue Hijjab !Nenda kasome petro 5:7 ili ujue nani wakumkabidhi huo wasiwasi wako ikiwa hujui pa kuupeleka halafu urudi hapa tujadili.
Yan Hamna viumbe wana Nywele nzur za kungaa kma sístersHivi 'masista' wanavaaga nini?huwa natamani nione hata nywele zao
Yan Hamna viumbe wana Nywele nzur za kungaa kma sísters
Mbona Maria mama wa Mungu sijaiona hapo?Kaka akaogopa ''salaamu maria umejaa neema bwana u nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amina''.
Mwambie KAKA aache uoga aache watoto wapate cha kula cha kiroho
Ngoja Trump ashike kasi tutaisoma namba.
"Yale Mazuri ya watu Wazuri Huwa Mabaya kwa watu wabaya"
siyo udini, issue ni kuwa upande mmoja hauthamini upande mwingine kwa kuuona hauna haki, mimi mdogo wangu alisoma Thaqaafa ya mwanza, alikuwa anavaa hijabu kwa lazima, kwa kuwa ni shule inayomilikiwa na taasisi ya kiislamu, lakini ukienda pale SAUT, bado waislamu wanaruhusiwa kuvaa baibui kama kawa, sasa hapo nani ana udini?Acha udini. Tuishi kama siku zote.
Jk alisoma wapi? Makamba alisoma wapi? Salim Ahmed Salim alisoma wapi?Hakuna muisilamu anasoma seminary za kikristo. Bali wapo waisilamu wanao soma Shule za binafsi zinazomilikiwa na wakristo
Kama mdogo wako kweli ni mkristo anatakiwa afurahie kabisa. Maana anavaa vazi takatifu. Vazi bora. Vazi la bikra Mariaa!!siyo udini, issue ni kuwa upande mmoja hauthamini upande mwingine kwa kuuona hauna haki, mimi mdogo wangu alisoma Thaqaafa ya mwanza, alikuwa anavaa hijabu kwa lazima, kwa kuwa ni shule inayomilikiwa na taasisi ya kiislamu, lakini ukienda pale SAUT, bado waislamu wanaruhusiwa kuvaa baibui kama kawa, sasa hapo nani ana udini?

Watakupa na "justification" tu, kwamba sheikh maana yake mwanaume mtu mzima!! Wananipaga raha sana hawa watuhalafu utasikia ``Sheikh habari`` sijui nani kawaambia kila mtu ni Sheikh

Kamalizie kwanza shule ya msingi ujifunze kuandike ndo uje humuSiku moja uje ulize.au unataka kuwa Sista nini???.
Kama hujashuhudia haimaanishi haijawatokea, Mimi nimeshashuhudia.Nimeshuhudia mara mbili:Tukio la kwanza nikisafiri toka Morogoro kwenda DSM,abiria kama watatu hivi wakimlalamikia dereva wa basi abadilishe "stesheni" ya redio baada ya kusikia yakitolewa mawaidha ya kiislamu.Dereva yule kwa busara aliamua kuzima kabisa redio.Tukio la pili nikisafiri toka Arusha kwenda Moshi,abiria kadhaa walimfokea abiria mwenzao aliefungulia nyimbo ya kaswida kupitia simu yake ya mkononi,malumbano yalikuwa makali.Nilimsihi yule dada atumie "earphone" ili kutowakera wengine wasiopenda kusikia hiyo kaswida yake.Lakini sijawahi kushuhudia tafrani ikitokea pale unapopigwa wimbo/kwaya katika mazingira hayo hayo ya chombo cha usafiri,taaizo ni nn hasa? Kwa nini upande mmoja unashindwa ustahamilivu wa kiimani kwa mwenzie????