Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

Hijabu-choice.jpg
 
Chuo cha ualimu marangu mtoni, jengo la utawala lina msalaba. Uongozi wa wanafunzi waislam uliwahi kugoma wakishinikiza msalaba uliopo jengo la utawala utolewe. Mkuu wa chuo aliwaambia selikari imeazima majengo tu hivyo kama hawawezi kusoma pale watafute sehemu nyingine.
 
Islaam Trueth.jpg
 
Kwa mtu anayemjua Mungu wa kweli,mavazi sio ishu.Jambo la msingi ni kuvaa mavazi yanayositiri mwili.Ukiona mtu anang'ang'ania kuvaa mavazi ya aina fulani kwa kisingizio cha dini ujue mtu huyo kiroho ni mtupu,kwa maana nyingine hamjui Mungu wa kweli.
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili

Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.

Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?

Haki itendeke kote
 
Did you see her when she was with other people? Do you know her culture and tradition? where is it written in the Bible concerning the dress code of Mary?
Nashindwa kuelewa wakristo nyinyi dini. Yenu. IPO wapi non maana ya ibada kwenu ninj maana ya mila na destur nini mmejifunza kutoka kwa yesu kuna mtu alisema ukitaka kuwa mfuas wa yesu sio usikilize maneno. Yake Bali jaribu kuwa kama yeye kwa kiwango kile mungu amekupa nashangaa mtu linapokuja swala la mazish yesu alizikwa na sanda wanasema sio mila zetu Marian mama Yake yesu anafahamika kama bikira maria naye mpaka kuna watu wameeka sala Yake ila anapovaa hijab bado tunasema mila za wayahud
Am sorry kusema wakristo wanajua dinj n kusikiliza mahubir kufuata amr kumi tena kinafk wewe utakosaje kumtaman Mke wa mwenzio akipita wakat Mtoto masha Allah
Na kingne kusali dini sio kusali pekee na kufuata amr kumi Bali ni kuacha kila lililo baya na kuiga yote yaliyomema ambayo yesu aliyafunfisha na kuyaridhia
Wakristo nasikitika dini yenu ilitoa muongoz jins gani mvae lakini kwa tamaa zenu za miili mmeacha hayo mmefundishwa hata jins ya kuzika lakn kwa kupenda kwenu hfahar na matakwa ya miil yenu mmesahau hayo polen sana rudn katika kitab chenu msiruhus fkra za kibinadam na usasa wenye ujinga uharib dini
 
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili

Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.

Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?

Haki itendeke kote
Mungu wa Kweli huwa halazimishi watu, na ndiyo maana alipomuumba Adam alimruhusu pia kuwa huru ktk kumuamini, na kumuabudu, na ndiyo maana alipokosea aliweka mpango kabambe wa kumkomboa kizazi cha Adam kupitia Yesu Kristo. Hivyo ukiona kitu kama kulazimisha ujue hapo shetani anahusika. Na ndiyo maana kwa wakristo na shule zao wanatoa uhuru wa kuamini na kuabudu.
 
Back
Top Bottom