Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

wameharibu nchi zao wenyewe.waarabu ni jamii ya wajinga ni kama waafrika ni watu wasiojitambua.
Mwenyezi Mungu amesema katika Qur'an Tukufu kuwa 'usiwafanye Makafiri kuwa ni wandani wako (marafiki wa karibu sana) kwani hao watakutia hasara na kukuotosha. ana ndio kinachowakuta !
 
Mwenyezi Mungu amesema katika Qur'an Tukufu kuwa 'usiwafanye Makafiri kuwa ni wandani wako (marafiki wa karibu sana) kwani hao watakutia hasara na kukuotosha. ana ndio kinachowakuta !
makafiri ndio wakina nani?
 
Kuna wazazi waliwazuia watoto kuvaa nembo ya shule pale St. Anthony. Nembo ina msalaba! Waliambiwa watafute shule nyingine.
Baadhi waliondoka na wengine walikubali kuvaa msalaba.
Sheikh Y Hussein aliwasomesha wanae pale bila shida.
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
kwani salama aleykum maana yake nini?halafu ushaona wakirsto wa cairo na casablanca wakisalimiana mkuu?
 
Unajua shida yenu mnajua elimu ahera tu, hujui kwamba kuingiliana kwa lugha ni jambo la kawaida!? kwa hiyo unadhani kiarabu ndo hakijatohoa maneno toka ligha zingine!? lugha nyingi tu duniani zinakopa maneno toka lugha zingine
Mwenyezi Mungu ameisifu lugha ya Kiarabu kuwa ni lugha safi isiyo na upogo (kuazima maneno kutoka lugha nyingine) na ndio maana Qur'an inabaki vile vile na lugha yake ya asili.
Elimu Akhera ndio elimu mama, na ukiwanayo hiyo itakusaidia usitengeneze bomu la nyuklia au ebola ! pia hutapiga atomic boom Hiroshima na Nagasaki !
 
Wale walio mpiga mungu wao kisha wakamuwamba mtini !
ok halafu inawezekana tupo tofauti sana kielimu ila mitandao ya kijamii inatuunganisha. Hata ufanye nini huwezi kuendelea bila ya social interaction from different people ( culture, religion, education,race, sex e.t.c)
 
Kaka akaogopa ''salaamu maria umejaa neema bwana u nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amina''.

Mwambie KAKA aache uoga aache watoto wapate cha kula cha kiroho
If the tables were turned, wewe usingekuwa muoga???
 
Ni vema tuelewe kuwa kuna Dini za Kulindwa na kisambazwa na wanadamu ili ziwe so that it at least last na kuna nyingine Zinaendeshwa kwa Nguvu ya Mungu aliyezileta kwa sababu Mungu mwenyewe atosha kuieneza hiyo imani kwa wanadamu
 
Pasina kupepesa maneno shule za kikristo zisiporuhusu watoto wa kiislam kuvaa hijab kwa kiasi kikubwa wanapoteza wateja na focus yao wanatafuta wateja na kwa mujibu wa Imani yao hakuna kosa, lakini ukija upande wa pili piga ua garagaza ni bora urudi na pesa yako kuliko kutembea kichwa wazi kwenye shule za kiislam pesa yako sio kipaumbele.
 
hijabu ji vaz la star kwa waislam tuu hao wengine wasioamin uislam wabak tuu na pilipil zao waz
 
hahaha huwa hawapatagi kweli jaman mbona kesi nyingi zinaripotiwa maaskofu wanakula kondoo wao ni kweli hili
 
Back
Top Bottom