Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

W

Can you read twice your sentence? you have said every woman who prayed with uncovered head and then you said he did you want to say she? you have said who prayed not walking along the road...you are trying to mix two things together

there is different between worshiping God and associating with other people
 
Mtizamo wake ulikuwa hasi kama kweli alitaka watoto wapate elimu ya dunia angewaacha wakirudi likizo anawapeleka madrasa.
mimi ni watoto 3 wanasoma shule
Roman catholic lkn nimewapeleka watoto ili kupata elimu bora.
na jioni wakirudi nyumbani mwl wa madrasa anawafundisha dini ya imani ya islam.na wanafanya vizuri sana pande zote shuleni na madrasa.
Safi sana, umeangalia hii ishu kwa jicho la tati, na sio mhemko kama wengine
 
W

Can you read twice your sentence? you have said every woman who prayed with uncovered head and then you said he did you want to say she? you have said who prayed not walking along the road...you are trying to mix two things together

there is different between worshiping God and associating with other people
Was Mariam mother of Jesus covering her head while praying only or all the time even when she was with other people?
 
Did you see her when she was with other people? Do you know her culture and tradition? where is it written in the Bible concerning the dress code of Mary?
 
SIWEZI KUMPELEKA MWANANGU SHULE ZA MAKAFIRI WALA NGURUWE HATA SIKU MOJA AISEEE,HUKO NI KUFANYA MZAHA NA IMANI YANGU NA NITAKUWA NIMEFANYA KOSA KUBWA SANA MBELE YA MUUMBA WANGU,NI BORA ASOME HATA SHULE ZA SERIKALI ZA KATA TU.

SIPENDI UJINGA MIMI.

Dhambi ni nguruwe tu ila uzinzi na kufuga majini kwako safi?
 
nani aliyekuambia Waislam wanafuga majini? .....chunguza kwa makini utagundua kitu kwanin waislam wanapigwa vita dunian ni kwakuwa katu hawaruhusu dhurma ya aina yoyote, na uonevu wa aina yoyote.
 
Nimemjibu aliyesema kwamba hawezi kupeleka mtoto wake shule za makhafiri wakristo watamlisha nguruwe, nikamuuliza nguruwe ndio dhambi tu, je uzinzi na kufuga majini? hata hivyo siyo kweli kwamba waislam wanapigwa vita duniani au wanadhulumiwa haki zao..nimezaliwa na wazazi waislam nimelelewa kiislam nimeenda madrasa nikiwa mdogo hata leo ninapongoea mjomba wangu ni shehe mkubwa...wapo ndugu zangu katika ukoo ni waislam wa jadi. natizo kubwa la waislam wengi wasiojua maana ya uislam wanapenda kuwalazimisha watu wawe waislam kwa nguvu kitu ambacho ni kinyume na dini ya kiislam
 
Did you see her when she was with other people? Do you know her culture and tradition? where is it written in the Bible concerning the dress code of Mary?
Are you trying to say she ddnt wear a veil? Of you want say she wore a mini skirt then you are out of your mind.
 
Hijab zivaliwe msikitini tu basi Hata kwenye public gathering zipigwe marufuku kabisa
Hapa ndio utajua nynyi watu MNA matatizo kwan pilpili ya shamba yawawashia nn hijab hujavaa wewe sasa nini inakuuma mpaka unapatwa na kichokonoz unayatoa ya kwenye mtima acha izo mambo
 
Viongozi wengi tunaowaona sasa walisoma shule za seminari ingawa ni waislamu kwa sababu wakati huo ndo shule pekee zilizokuwepo na zilikuwa zinatoa elimu bora
 
Hapa ndio utajua nynyi watu MNA matatizo kwan pilpili ya shamba yawawashia nn hijab hujavaa wewe sasa nini inakuuma mpaka unapatwa na kichokonoz unayatoa ya kwenye mtima acha izo mambo
Wanaona wivu wake zao wanatembea mapaja nje. Na wetu vitu viko ndani vimefunikwa. yaani sie tunawapenda sana wake zetu hatutaki wawe mali ya umma.
 
W

Can you read twice your sentence? you have said every woman who prayed with uncovered head and then you said he did you want to say she? you have said who prayed not walking along the road...you are trying to mix two things together

there is different between worshiping God and associating with other people
.....hayo maneno sijaandika mimi, halafu tuliza kichwa wakati unasoma kitu na ujaribu kuelewa.
Paulo anaelezea kupitia Barua kwa Wakorintho kuwa wanaume wawe vichwa wazi na wanawake wafunike vichwa (nywele zao) ibadani. VIVIANET
 
lakin kwan na kwa upande wa wakristo huu utaratibu ya kutofunika vichwa ulitokea wap?? mwenye ushahid wa kimaandishi ya din aniandikie wap mliruhusiwa kiacha vichwa waz atuwekee tafadhar
 
Nimemjibu aliyesema kwamba hawezi kupeleka mtoto wake shule za makhafiri wakristo watamlisha nguruwe, nikamuuliza nguruwe ndio dhambi tu, je uzinzi na kufuga majini? hata hivyo siyo kweli kwamba waislam wanapigwa vita duniani au wanadhulumiwa haki zao..nimezaliwa na wazazi waislam nimelelewa kiislam nimeenda madrasa nikiwa mdogo hata leo ninapongoea mjomba wangu ni shehe mkubwa...wapo ndugu zangu katika ukoo ni waislam wa jadi. natizo kubwa la waislam wengi wasiojua maana ya uislam wanapenda kuwalazimisha watu wawe waislam kwa nguvu kitu ambacho ni kinyume na dini ya kiislam
..........wewe majini umewahi kuona wapi wanafugwa !??
Hawa wanaotolewa majini/mapepo makanisani huwa wanayatoa wapi !?
TB Joshua na mapepo.png
 
Inategemea na hao wakristo wanaomiliki hiyo shule wana msimamo gani.Niliwahi kufundisha shule moja ya masista wa Holy spirit inaitwa Magnificat,kulikuwa na waislam kibao lakini mzazi anasaini waraka mapema kabisa kwamba mtoto atafuata taratibu zote za R.C.,sala kwa kwenda mbele,misa daily n.k.
Mpaka mtoto anamaliza form 4 anamju bikira Maria kuliko Joseph alivyomjua.
 
Maria sanamu2.jpg
 
Sasa wale masista wanazovaa hadi mitaani nao wapigwe marufuku? Unajua dini zitabaki kuwa dini zina misingi yake ukifuatilia hata wanawake wakipindi cha utawala Wa manabii walikuwa wanawake wanajifunika vichwa vyao
 
Back
Top Bottom