Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

Asalam alykhum ina maana ya "amani iwe nanyi" hii salamu hata yesu aliitumia sana.
Hebu nipe andiko linaloonyesha yesu alitufundisha tusalimiane 'Bwana Yesu asifiwe'
huwa nina wasiwasi na alah kama ndo Mungu tumuabuduye yule Mungu wa ibrahimu isack na yakobo. miungu iko mingi na alah ni mmojawapo. ni muungu wa waarabu hata wasukuma wana wao .
 
Ondoa wasiwasi kwanza halafu uje tujadili ukiwa na akili timamu.
 
Hivi unapoingia msikitini ukakuta watu wanapiga kuruani kwa kwenda mbele utalalamika kisa wewe ni mkristu..?! Na unapokwenda kanisani ukakukuta wagalatia tunapia biblia haswaa utasema unalazimishwa..
1. Hivi hizo hijabu zinazoitwa zinalazimishwa, haziko kenye JOINING INSTRUCTIONS?
2. Ambaye leo hii hana mtoto anajuwa kabisa kuwa shule zinazomilikiwa na dini tofauti na yeye zinaedesha mambo yake kwa mujibu wa dini ysje..WTF siku unapata mtoto uamue kumpeleka mwanao akasome kwenye shule ZITAKAZOKULAZIMIDHA KUFUATA MAMBO ULIYOKUWA UNAYAJUWA KABLA..?
 
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".

Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
 
Safi sana....wangewaacha tu tutengeneze watumishi
 
Mtizamo wake ulikuwa hasi kama kweli alitaka watoto wapate elimu ya dunia angewaacha wakirudi likizo anawapeleka madrasa.
mimi ni watoto 3 wanasoma shule
Roman catholic lkn nimewapeleka watoto ili kupata elimu bora.
na jioni wakirudi nyumbani mwl wa madrasa anawafundisha dini ya imani ya islam.na wanafanya vizuri sana pande zote shuleni na madrasa.
 
Mtizamo wake ulikuwa hasi kama kweli alitaka watoto wapate elimu ya dunia angewaacha wakirudi likizo anawapeleka madrasa.
mimi ni watoto 3 wanasoma shule
Roman catholic lkn nimewaleka watoto ili kupata elimu bora.
na jioni wakirudi nyumbani mwl wa madrasa anawafundisha dini ya imani.na wanafanya vizuri sana pande zote shuleni na madrasa.
Ukumbuke watoto walikuwa boarding na muda waliokuwa shule ulikuwa ni mrefu, kama mzazi alikuwa na uhuru wa kuchagua elimu ya watoto wake.
 
Shule za Seminary zenye usimamizi wa hali ya Juu na zenye kusimamia misingi ya Kikristo hawawezi kubali uvae Hijabu hata iweje. Na ukienda shuleni lazima uhudhurie dini na mafundisho. Dini yako na dhehebu lako unaliacha nyumbani. Hutaki kalale mbele.

Ila kuna hizi zingine hasa za KKKT hazina sheria sana kwenye mambo ya dini. Hawaruhusu kuvaa baibui na hijabu lakini unaruhusiwa kusali dini yako.
Hilo la mafundisho labda dhehebu jingine lkn kwa RC ni lazima kusali kabla ya masomo,kulala na baada ya masomo.
maana nina vijana wanasoma shule za Roman catholic ndio hicho wanachonieleza.na pia huwa hawafanyi mtihani wa dini.
 
Ukumbuke watoto walikuwa boarding na muda waliokuwa shule ulikuwa ni mrefu, kama mzazi alikuwa na uhuru wa kuchagua elimu ya watoto wake.
Sawa lakini kipindi cha likizo angeweza kuwapeleka madrasa.
mimi ninavyoelewa shule huwa hazimlamishi mtoto kubadili dini ya ukristo.
ila lazima ufuate sheria za shule jambo ambalo hata ktk seminary za kiislaam zipo.
 
Ni kweli usemayo, shule hailazimishi ubadili dini lakini lazima ujiunge na wenzako katika shughuli nyingi, ingawa J2 hawalazimishwi kwenda kanisani lakini sala za asubuhi wanasali pamoja.
 
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".

Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
 
Hizo shule sio Seminary School ni shule za sSecular kwa maana kuwa zimesajiliwa hivyo. Seminary School hazina mchanganyiko wa dini na usajili wake huwa ni tofauti na hizo. Mfano Itaga Seminary-Tabora ni tofauti Mihayo Sec School-Tabora japokuwa zote zinamilikiwa na RC lakini zimesajiliwa kwa madhumuni tofauti kabisa
Watu nazan.hawajui mkuu,lengo seminary za Rc Nikumuandaa kijn kuwa padre,hakunaga mchanganyiko my b mchanganyo upite kwa njia ya nyuma
Kwa mfano kwa mbeya
Kuna.st Mary's mbaliz seminary hapa wanasoma wa RC pekeee
Ila pia RC ina shule pandahil hi wanasoma mchanganyiko wa dini yyt

Ila masister husoma.shule yyt na.shule za RC za girls zote huwa n mchanganyiko wa din mbali km
St francis,samartan girls,marian nk
 
Asalam alykhum ina maana ya "amani iwe nanyi" hii salamu hata yesu aliitumia sana.
Hebu nipe andiko linaloonyesha yesu alitufundisha tusalimiane 'Bwana Yesu asifiwe'
Ah ah ah ah ah Rc kipind nasali kila.nikienda nakuta salam zinabadilika
Tumsifu yesu kristu
Aman.iwe.nanyi

Na.nyingine.kibao

Pambanen tuu na din hizoo
 
ki msingi ukristo ni dini ya kubumba tu, ni mawazo ya watu walikaa na kuitengeneza,hili ndo lilinipelekea nimeamua kusilimu juzi tu, how comes hata hao wazungu waliouleta kwetu Afrika wakatae kuufuata? tafadhalini ndugu zangu wa kikristo jaribuni sana kuisurvey dini yenu mtagundua ipo ki-dunia zaidi sio kumtafuta na kumjua Mungu
Itakuwa ulipata mke wa.kiislam ww

Anyway
Pambana na hali yako

Ningekuona wa maaana km ungeachana na dini kabisa,yanini kuangaika??
 
Mi sijui wavae au wasivae ila wasichana wanaovaa hijab wanavutia sana. Tena ukute wamevaa hijab zao safi wenyewe wembamba warefu kisha wanafuatana kama watatu hivi. Dah huwa napenda sana.
 
Back
Top Bottom