zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,486
- 1,712
Fany uchunguzi upyaNakubaliana na ww kuwa taasisi za kikristo zina elim bora ,,, ila tatizo nikuwa mwislam akiwepo analazimishwa kuvua hijab na pia analazimishwa ajifunze mafundisho ya kikristo jambo linaloenda kinyume na uislam ,,, ndio maana wazanzibar hawapendi kuwaleta wanao bara ,,,,
Kuna.seminary na shule za kawaida ambazo zinamilikiwa na wakristu
Seminary wanaenda dini moja tuu
Shule zingine za kikristu wanaenda dini mbali mbali na kila mmoja anasali kadr ya iman yake
Eg huru seminary,st Mary's mbaliz semi.ary ,mafinga seminary hz n waroma pekeeee na.kuna kanisa na wanasali na kufundishwa
Ila kuna shule km
Pandahili,marian girls and boys,st Francis ya mbey nk
Hz n din mbali mbali na kila mmoja anasali kulingana na iman yake
Mpk atheism wapo ruksa nyinyi mnaenda church au msikitin sisi tunadeal na yetu....ah ah ah nilipitaga huko
Ebu toa.mfano wa shule za kikristu wanazo pokea.muislam na kujua muislam ila wanamlazimisha kusali