hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,485
- 12,055
Huelewi hata unachotetea.Hakuna Kafiri. Walioitwa makafiri wakati ule ni waarabu waliokuwa wanapingana na Uislam. Wakristo katika Qurani wameitwa wakristo na mayuhadi waliitwa watu wa kitabu.kwa hiyo neno Kafiri si sawa kutumiwa wakati huu.
Nani kakwambia kwa sasa makafiri hawapo?.
Nisikulaumu,pengine hata maana ya kafiri hujui.