Ivi wale masista huwa wanavaa nn ?Hijab zivaliwe msikitini tu basi Hata kwenye public gathering zipigwe marufuku kabisa
Ivi wale masista huwa wanavaa nn ?Hijab zivaliwe msikitini tu basi Hata kwenye public gathering zipigwe marufuku kabisa
........wakwangu kapewa mpaka uwanachama wa ukwata, na vyeti vingine kibao. Alipomaliza na kuingia chuo tu, nikamwambia misalaba na habari ya Yesu imeishia hapo.Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.
Kuna swahiba yangu mkuu yeye ni Mpemba aliniambia amesikia shule za Roman Catholic zina elimu bora hivyo anaomba nimsaidie watoto wake wawili wapate nafasi, basi tulipigania kumwambia baba paroko hawa ni watoto wa kaka yangu kabisa. Watoto walipewa mtihani na walifauli na kupata nafasi, kaka yangu alifurahi sana na zawadi tele nililetewa, shule ni boarding, baada ya miezi sita watoto wamerudi wanajua mpaka novena. Kaka aliniambia "dada sasa hawa wakimaliza shule si nitakuwa nimewapoteza kabisa".
Watoto hawakurudi tena shuleni kule, walitafutiwa shule nyingine. Jitihada zangu ziliishia hapo.

...........unashukuru kwa wao kuiga tabia za kikafiri !?? ........Nashukuru pia watoto wa kiislamu wanapobahatika kujiunga na seminary zeru hizi hujikuta wanatumia na kupenda nyama ya mbuzi katoriki(kitimoto)
'mama wa mungu awaombee wakosefu !......'Kaka akaogopa ''salaamu maria umejaa neema bwana u nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amina''.
Mwambie KAKA aache uoga aache watoto wapate cha kula cha kiroho
Angewaacha kidogo wangekuja kuikana dini ya Allah.
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Kwa jinsi ulivyo andika unaonesha jinsi usivyo tambua nini maana ya dini na sababu ipi iliyopelekea kuwepo kwa dini, nimekushangaa umesema umeama dini iliyoletwa na wazungu alafu unaenda kwenye dini iliyoletwa na Waarabu hapo umenishangaza sana na kunifanya niamini kuwa hujui chochote kuhusu dini japo unajifanya mjuaji, labda pengine ungesema umeamua kuachana na dini ya wazungu na kurudi kwenye dini za Waafrika ambazo zilikuwepo toka enzi na enzi kabla ya kuja hao Waarabu na wazungu hapo ningekuona umefanya jambo zuri na maamuzi yenye busara.ki msingi ukristo ni dini ya kubumba tu, ni mawazo ya watu walikaa na kuitengeneza,hili ndo lilinipelekea nimeamua kusilimu juzi tu, how comes hata hao wazungu waliouleta kwetu Afrika wakatae kuufuata? tafadhalini ndugu zangu wa kikristo jaribuni sana kuisurvey dini yenu mtagundua ipo ki-dunia zaidi sio kumtafuta na kumjua Mungu
...........hiyo salaam hata Yesu ameitumia kusalimia jamii yake. Tatizo nyie hamsomi Biblia bali mnashindia 'Misale' na mapambio !Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'
Uislaam siyo Dini ya Waarabu.Kwa jinsi ulivyo andika unaonesha jinsi usivyo tambua nini maana ya dini na sababu ipi iliyopelekea kuwepo kwa dini, nimekushangaa umesema umeama dini iliyoletwa na wazungu alafu unaenda kwenye dini iliyoletwa na Waarabu hapo umenishangaza sana na kunifanya niamini kuwa hujui chochote kuhusu dini japo unajifanya mjuaji, labda pengine ungesema umeamua kuachana na dini ya wazungu na kurudi kwenye dini za Waafrika ambazo zilikuwepo toka enzi na enzi kabla ya kuja hao Waarabu na wazungu hapo ningekuona umefanya jambo zuri na maamuzi yenye busara.
Nashukuru sana kwa hili.Shule ya seminari iwe ya Kiislaamu au Kikiristo ni strictly kwa dhehebu hilo,kwani seminary madhumuni yake ni kufundisha elimu za lazima zinazoambatana na nguzo za Dhehebu hilo ikiwa ni dhumuni namba moja,na 'output" inayotarajiwa ni ni ile ya kuendeleza elimu ya dini katika jamii,ikiwemo kuwapata ma sheikh,mapdre,nk.dhumuni ambalo ni la pili ni elimu toshelezi ambayo ,wanaochujwa wanaruhusiwa kuendelea vyuo vingine na kupata elimu za kawaida,km udaktari,ualimu,uhasibu,uhandisi.Hizo shule sio Seminary School ni shule za sSecular kwa maana kuwa zimesajiliwa hivyo. Seminary School hazina mchanganyiko wa dini na usajili wake huwa ni tofauti na hizo. Mfano Itaga Seminary-Tabora ni tofauti Mihayo Sec School-Tabora japokuwa zote zinamilikiwa na RC lakini zimesajiliwa kwa madhumuni tofauti kabisa
China bans burqa in capital of Muslim region of XinjiangHijab zivaliwe msikitini tu basi Hata kwenye public gathering zipigwe marufuku kabisa
Masista si viongozi wetu..sio kila mkristo ni mkatoliki..hijabu haina uhusiano na kujistiri na kuwa kichwa waz hakumaanishi ndio hujajistiri..kujistiri ni kuvaa mavaz ya heshima na hujabu si lazima na haina umuhimu kwa sisi wakristo hata hao masista wenyewe km uko makini kuwaangalia utagundua hawavaag hijabu ila ni aina ya kilemba cz uvaaji wa hijabu ni tofauti kabisa na jinsi masista wavaavyo!
Mkuu VIVIANET kuna tofauti kubwa sana kati ya 'Seminary' na 'Shule zinazomilikiwa na Mashirika ya Dini'.Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili
Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.
Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?
Haki itendeke kote
Hiyo siku ya mwisho wewe ulikuwepo !?...........au ? OSOKONIWanachovaa masister ni hijabu?? Unajua kwa nn wanavaa vile? Kikubwa ni hivi siku ya mwisho hutaulizwa ulizwa ulivaa nini? Ulikula nini? Ulikunywa nini? Kwa nini hukutawadha ulipoingia msikitini? Kwa nn hukumkamua tumbo marehemu kabla ya kumzika hapana. Utahojiwa na kuhukumiwa kadri ya matendo yako!? Wangapi tunawaona wanavaa baibui na hijabu lakini tunapishana nao gesti? Usijidanganye matendo mema pekee Ndio yatakupeleka mbinguni sio dini au kuvaa
mimi sijataka kujua maana yake, nnachojua hiyo salamu wanaitumia waislam, kama ishu ni maana nzuri kwa nini hasalimii bwana Yesu asifiwe?...........hiyo salaam hata Yesu ameitumia kusalimia jamii yake. Tatizo nyie hamsomi Biblia bali mnashindia 'Misale' na mapambio !
Yesu alikua akisema : 'Amani ya Bwana na iwe juu yenu !'
..........huyu kaharibu Syria, Libya, Yemen na Iraq ! Kafiri ni kafiri tu !Mwisho wa magaidi umewadia huyu husein Obama aliwachekea sana