Hijab kwenye shule za kikristo

Hijab kwenye shule za kikristo

Kaka akaogopa ''salaamu maria umejaa neema bwana u nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amina''.

Mwambie KAKA aache uoga aache watoto wapate cha kula cha kiroho
Maria mama wa mungu,
 
Tanzania ni udini kwenda halafu eti tunajisifia Umoja. Ukitajwa Uislam hapa kwenye JF watu povu linawatoka.
 
Kama kuna mtu mwenye upungufu mkubwa wa imani na akili,basi ni yule muislamu anaempeleka mwanae kwenye mashule ya hao wabaguzi,wenye kiburi na kujisikia.
Ukweli utakuweka huru. bila katoliki imara Nchi yetu itayumba
 
kuna nini wanakipunguza kwako wakivaa kwenye hizo shule? vitu vidogo kama hivi kuanza kuvichambua ni kuleta utengano na hakuna faida yoyote
Hivi mada kama hii ikiondolewa na Moderator mtoa mada naye atalalamika kuminywa kwa uhuru wake wa maoni?
Humu kuna Wapumbavu wachache wanapenda sana chokochoko za Dini/Kidini.

Kinachonishangaza, kitaani tunaishi poa tu.

Iwe Sherehe, au Misiba tunakuwa kitu kimoja bila kujali tofauti zetu za KiiMani.

Tunaishi kama Ndugu.

Sasa huwa nashangaa sana hapa JF, ninapoona Vinabo fulani wanaleta Shobo za Kidini.

Ninachojua mimi ni kwamba,

Watanzania hatuna hitilafu za Kidini wala za Kikabila
 
Kaka kaogopa dini ya kikafiri.
Hakuna Kafiri. Walioitwa makafiri wakati ule ni waarabu waliokuwa wanapingana na Uislam. Wakristo katika Qurani wameitwa wakristo na mayuhadi waliitwa watu wa kitabu.kwa hiyo neno Kafiri si sawa kutumiwa wakati huu.
 
Humu kuna Wapumbavu wachache wanapenda sana chokochoko za Dini/Kidini.

Kinachonishangaza, kitaani tunaishi poa tu.

Iwe Sherehe, au Misiba tunakuwa kitu kimoja bila kujali tofauti zetu za KiiMani.

Tunaishi kama Ndugu.

Sasa huwa nashangaa sana hapa JF, ninapoona Vinabo fulani wanaleta Shobo za Kidini.

Ninachojua mimi ni kwamba,

Watanzania hatuna hitilafu za Kidini wala za Kikabila
Tusijidanganye udini upo. MFUMO upo
 
Kwa hiyo huyo mungu amezaliwa na maria. Lakini mama hayupo katika utatu
Hebu mpotezee huyo jamaa.

Unavyojibishana nae ndio unaharibu.

Kimtindo inakuwa kama tunachoreshana.

Wewe kula Kabunyau, halafu uone kama atachonga ngenga
 
Ukweli utakuweka huru. bila katoliki imara Nchi yetu itayumba
Ni kweli ukatoliki uko imara sana Tanzania. Wala nchi haitayumba kwani hizo nchi nyingine ambazo hazina huo MFUMO mbona haziyumbi. Mumewahi
 
Ukweli utakuweka huru. bila katoliki imara Nchi yetu itayumba
Kipi walichokifanya?
Wamejazana serekalini na kwenye mashirika ya uma kwakisingizio wamesoma zaidi ya waislamu(uongo wenye mapembe). Faida tuliyoipata kwa kujazana wakristo serekalini ni ufusadi,wizi wa mali za uma na kurudi nyuma hatua kumi kila uchao.

Ajabu anapotokea raisi muislamu akajaribu kufanya vizuri,kuunganisha watu bila ubaguzi(mfumo kiristo) utawaona maaskofu,mapadri,wachungaji na waumini wao wakiungana pamoja kumpiga vita asifanikiwe.
 
Hao jamaa ni wabinafsi haina mfano. Ni jambo la kawaida kuingia kwenye ofisi ya kiserikari na kusalimia 'salama aleykum' bila kujua huyo anayemsalimia ni dini gani. Lakini mkristu hawezi kuingia ofisi ya serikali akasalimia 'bwana yesu asifiwe'

Asalam Aleikum sio Uislamu bali NI Kiarabu Na maana yake "Amani iwe juu yako" wako Waarabu wengi ambao NI WaKristo wanasalimiana hivyo Na wayahudi wanasalimiana Shalom.
NI salamu tu. Usitokwe Na povu.Hata Lugha ya Kiswahili maneno ya Kiarabu kibao.
 
Ubinaadamu Kwanza.
Humanity First.

Kila tunalolifanya, tuwekeni "Ubinaadamu Kwanza",
Tulindeni Uhuru na Umoja wetu.
 
Nimetamani sana kupata michango yenu kuhusu jambo hili

Shule za dini ni seminary za dini husika, nimekuwa nikijiuliza maswali mengi pale ninapoona double standard ktk kuvaa hijab kwa watoto wa kiislam ktk seminary za Ki-kristo.

Mtoto wa kikristo akijiunga kwenye shule inayomilikiwa na dini ya kiislam analazimishwa avae hijab lakini mtoto wa kiislam anapojiunga na seminary za kikristo pia analazimisha kuvaa hijab na iwapo sheria ya shule itamkataza serikali inaingilia kati kwamba hilo ni swala la imani. Je swala la imani linaegemea upande mmoja?

Haki itendeke kote
Sasa wewe inakuuma nini mwanafunzi wa kiislam akivaa hijab daaah wapingaji hamuishi vitimbi
 
huyo alifanya vizuri sana...Allah amlipe kheir
Mmebakizaga hayo hayo tu Allah amlipe Khel ,khel gani unalipwa hapo kama c upuuzi tu mmezoea maisha ya ubaguzi na mifumo isiyo thamini utu wa mtu,na neno lenu la ajabu kabisa eti Islam ndg yake Islam, sjui hawa wengine waliumbwa na nani mnamkosoa mwenyezi MUNGU ninahakika hakuna pepo mtakayoiona upande wenu.
 
Wanachovaa masister ni hijabu?? Unajua kwa nn wanavaa vile? Kikubwa ni hivi siku ya mwisho hutaulizwa ulizwa ulivaa nini? Ulikula nini? Ulikunywa nini? Kwa nini hukutawadha ulipoingia msikitini? Kwa nn hukumkamua tumbo marehemu kabla ya kumzika hapana. Utahojiwa na kuhukumiwa kadri ya matendo yako!? Wangapi tunawaona wanavaa baibui na hijabu lakini tunapishana nao gesti? Usijidanganye matendo mema pekee Ndio yatakupeleka mbinguni sio dini au kuvaa
kama imetokea umekuta na mmtu wa hivyo ni tabia yake uislamu cdhani kama unafundisha aende gest na hata huo ukristo pia haufundishi hivyo hiyo ni tabia ya mmtu aihusini na dini yoyote hapo mmkuu
 
Back
Top Bottom