Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Anything, just to show how unreliable it (Wiki) is.

So huamini ama aje? Soma vzr comment yangu hapo juu, kwa sasa sina natumia simu naomba nisiendelee kukujibu ila nina hakika 100% wkp is not reliable sosi ya info, nikitulia ntakupa mifano mingi tu huenda utaamini
 
So huamini ama aje? Soma vzr comment yangu hapo juu, kwa sasa sina natumia simu naomba nisiendelee kukujibu ila nina hakika 100% wkp is not reliable sosi ya info, nikitulia ntakupa mifano mingi tu huenda utaamini

Hamna neno, nitasubiri mifano yako tele!!!!!!!!!!!!!
 
Simu zinaita? Kwa hiyo waliruka juu na simu zikiwa off, wakatua ama kufika juu na kuwasha simu na kurudi somewhere? Simu zao haziishi chaji? Maswali yanaongezeka.
Mpk saa kadhaa zilizopita simu za familia 22 zimesaini kuwa wanapiga simu za wapendwa wao zaita bila kupokelewa, so huenda bado wapo salama kwenye eneo ambapo signals za cellphone zafika
 
Mi mwenyewe nashangaa haya maajabu, ndege kubwa vile kupotea tu ghafla haionekani popote kweli haya ni aajabu ya dunia.

dbl K, ndege ni kubwa lakini dunia ni kubwa zaidi, hiyo ndege ni negligible kwa size ya dunia nchi kavu na uso wa bahari. Kama signal transmitter zote za hiyo ndege zimekufa, maana yake matumaini ya kuipata ni kwa kutumia macho tu.
Nyingine huwa zinapatikana kwa sababu huwa wanazitafuta kwa kufuatilia njia ambazo huwa kwa kawaida zinapita. Hii ndege imepotea kwa zaidi ya mamia ya kilometa kutoka destination yake, inawezekana ipo nje ya maeneo ambayo wao wamechagua kuyasachi.

Mystery Malaysia flight may have been hundreds of miles off course - CNN.com
 
Huyo Joshua hana lolote. Anachota tu akili za watu ambao ama hawana akili au ni wavivu wa kufikiri.

Hana ujuzi wowote wala uwezo wowote ule wa kutabiri tukio lolote lile to the tee. Tabiri zake nyingi, kama siyo zote, huwa ni za jumla jumla mno kiasi cha mtu yeyote yule kuweza kutabiri.

Kuhusu hii ajali, yaani ukisikiliza huo utabiri wake utaishia kucheka tu. Eti anakwambia kuna nchi ya Asia, lakini hataitaja jina, ambayo itapatwa na ajali ya ndege na kuua watu 200 na kitu.

Hahahaa, sasa huo nao eti ni utabiri. Utabiri my azz. Hivi katika mwaka ni ajali ngapi za ndege huwa zinatokea? Jibu ni karibu kila mwaka lazima huwa kuna ajali za ndege hapa duniani!

Na ni ndege ngapi zenye uwezo wa kubeba watu mia mbili na kitu? Jibu ni nyingi tu.

Na bara la Asia lina nchi ngapi? Jibu ni nyingi tu. Sasa kwa nini hakutaja hata nchi, achilia mbali airline yenyewe?

Sasa hapo kuna utaalamu gani? Mimi ningemwona wa maana kama angekuwa ana nail huo utabiri wake with pin point accuracy - yaani anatoa specifics halafu tukio linatokea kweli kama alivyotabiri.

Lakini huu upuuzi wa kutoa utabiri wa jumla jumla hata mimi naweza kuutoa. Naweza kabisa kusema kabla mwaka huu haujaisha kutatokea ajali ya ndege ndogo katika moja ya nchi za Afrika Mashariki na Afrika ya Kusini na itaua watu zaidi wa 10.

Na kweli, mwezi na nane au wa tisa Precision au SA Airways inadondoka na kuua watu 15, bingo, nami ntakuwa nimeingia kwenye unabii. Hahahahaaaa.......kaazi kweli kweli.

Na hapo wala nitakuwa situmii uwezo wowote wa ajabu bali ni common sense tu na law of averages, basi. Sasa huyo Joshua ni lini kawahi kutoa utabiri na specifics za nguvu na ikaja kweli kutokea.

Hebu ona huo utabiri wake ambao watu wajinga wanadhani kuwa ndo alikuwa anaitabiria hiyo ndege ya Malaysia. Utabiri wenyewe eti aliufanya July 2013. Yaani hakuna specifc info hata kiduchu. Kilichopo ni mi broad generalities tu.



Halafu, iweje utabiri wake usiwe na time limit? Hebu fikiria, eti utabiri aliufanya mwaka jana mwezi wa saba, majuzi ndege imepotea eti watu ndo wanaona alikuwa anaitabiria hiyo ndege. Ina maana utabiri wake ni open-ended?

Ain't nobody in their right mind got time for that.

Wee acha tu mkuu, naanza kuamini jinsi kuwepo kwa wajinga wengi ndivyo kunavyosababisha kuwapo kwa matajiri wengi vile. Yaani huu ndio utabiri wa watu na degree zao kumuamini? My foot. This is nothing, but a highly calibrated level of vicious circle of ignorance.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kipaji Halisi, asante kwa link uliyoweka hapa.
Hiki kipande hapa chini kimenishangaza kidogo!

As WashPost reports:

One of the most eerie rumors came after a few relatives said they were able to call the cellphones of their loved ones or find them on a Chinese instant messenger service called QQ that indicated that their phones were still somehow online.

A migrant worker in the room said that several other workers from his company were on the plane, including his brother-in-law. Among them, the QQ accounts of three still showed that they were online, he said Sunday afternoon.

Adding to the mystery, other relatives in the room said that when they dialed some passengers' numbers, they seemed to get ringing tones on the other side even though the calls were not picked up.

 
Last edited by a moderator:
Nasikia viumbe wa sayari nyingine wamepiga dili ndo maana aionekani na inasemekana watarudi salama wakiwa fresh ila katika destination tofauti!
 
Means ya Kuokoa anatoaga kwa kusema tuombe na kuitaadharisha nchi husika mfano ile ya marekani ya olompiki alisema kabsa serikali ya marekani iimarishe ulinzi na hii ya ndege pia aliitaadharisha nchi ya malaysia na wahusika wanaangalie ndege zao kabla hawajaanza safari.....lakini sasa isingetokea watu wangesema nabii wa uongo mbona hakijatokea

hebu peleka ushenzi wako huko...huna hata haya mwanaume mzima unamwamini mungu mtu..sisi tunamwamini Mungu wa mbinguni usituletee hapa..
 
Mkuu kipaji Halisi, asante kwa link uliyoweka hapa.
Hiki kipande hapa chini kimenishangaza kidogo!

As WashPost reports:

One of the most eerie rumors came after a few relatives said they were able to call the cellphones of their loved ones or find them on a Chinese instant messenger service called QQ that indicated that their phones were still somehow online.

A migrant worker in the room said that several other workers from his company were on the plane, including his brother-in-law. Among them, the QQ accounts of three still showed that they were online, he said Sunday afternoon.

Adding to the mystery, other relatives in the room said that when they dialed some passengers' numbers, they seemed to get ringing tones on the other side even though the calls were not picked up.


so inawezekana.wapo.somewhere nchi kavu..kwani chini ya.bahari kutakua na.network jamani? kama ni.supernatural basi watakua wametwaliwa mbinguni..
 
Last edited by a moderator:
This is rubbish about Joshua, utabiri gani usio na manufaa? Its meaningless kutabiri wkt hatoi means ya kuokoa

Acha matusi e mwanadamu usiyejua hata kesho yako ikoje...

Unajua unabii ni nini na utabiri ni nini?
 
Mazingira ya hii ndege kupotea mbona kama yataka kufanana na series ya LOST. Just saying.
 
Taarifa za habari zinasema kuwa ndugu wa abiria wakipiga simu kwa wahanga simu zao bado zinaita ila hazipokelewi.


Sent from my Lumia phone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom