Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

Hii ya Malaysia Airlines ni maajabu tu

MWAKA 1978 FEBRUARY; EAST AFRICA AIRWAYS WALIKUWA NA DEGE KUBWA LA MIZIGO LILILOITWA SIMBA.
RUBANI WAKE ALIKUWA CAPT.WILBERT URIO,KATIKA FANI HII KUNA VIMBWANGA KADHA WA KADHA KUNA KISA KIMOJA ANASIMULIA KWAMBA WAKATI WANAVUKA ATLANTIKI INSTRUMENTS ZOTE KWENYE COCKPIT ZILIGOMA KUFANYA KAZI BAADA YA MWANGA MKALI KUPITA MBELE YAO NA KUWAACHIA KIWI CHA MACHO.NDEGE ILIKOSA NGUVU NA KUANZA KUSHUKA CHINI MDOGOMDOGO MPAKA TUMBO LA NDEGE LIKAGUZA MAJI YA BAHARI WAKATI HUO WALIKWISHA KATA TAMAA NA KUANZA KUSALI LAKINI GHAFLA KWA NGUVU ZA AJABU NDEGE IKARUKA KWA MRUKO USIO WA KAWAIDA MPAKA KWENYE ATTITUDE WALIYOKUWA WANA I MAINTAIN NA GHAFLA INSTRUMENT ZOTE ZIKAANZA KUFANYA KAZI NA PIA KWENYE RADAR IKAANZA KUONEKANA,BAADA YA KUFIKA KWENYE DESTINATION ILIYOKUSUDIWA SALAMA NDEGE ILIFANYIWA UCHUNGUZI WA HALI YA JUU LAKINI HAKUNA DOSARI YEYOTE ILIYOONEKANA.

2Q==

Kaka hiyo EAC gani ya mwaka 1978 mbona tulishagawana fito 1977? halafu uchumi gani ungetupelekea ndege atlantic wakati Indian ocean kuivuka ilikuwa issue?
 
Yaani eti ndio wameona military datas kwamba ndege ilipiga norinda kurudi Kuala Lumpur. 72 hrs to reveal the military data! Truly nightmare.
 
ImageUploadedByJamiiForums1394573678.833585.jpg
Miujiza hutokea


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Hawa watakua ni wanyarwanda wameiba wameibadili rangi wamegonga chata kubwa la air rwanda sahii inakula masafa nyie endeleeni kutafuta wakati mnapishana nayo angani..
 
Huu ni unabii uliotabiliwa na T.B joshua mwaka jana na umetimia.tuombe mungu ipatikane na usalama wa abiria
 
Mindo maana hues zangu basi tu ndege pandeni nyie huko.
 
Leo ni siku ya nne, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki nayo yangebaki, sasa sijui imepotelea wapi! Kila nikifuatilia nakutana na still missing!
....pengine imepelekwa GAMBOSHI, ile ya BARIADI au ile ya BAGAMOYO.

 
Huu ni unabii uliotabiliwa na T.B joshua mwaka jana na umetimia.tuombe mungu ipatikane na usalama wa abiria

This is rubbish about Joshua, utabiri gani usio na manufaa? Its meaningless kutabiri wkt hatoi means ya kuokoa
 
Jamani mbona ndege imeonekana dar.tena inapiga ruti ubungo kwenda mbagala.na leo mchana nimetoka kupanda.

Watu km wewe ni wa kuhurumiwa tu nadhani hujawahi panda boing 700+, huwezi kuwa serious hata kdg
 
Huu ni unabii uliotabiliwa na T.B joshua mwaka jana na umetimia.tuombe mungu ipatikane na usalama wa abiria
Ipo thread ya huyo shetani wenu wa karne 21 nenda kachangie huko lkn unapotuletea hapa utabiri wa kulenga kuwaibia nyie utaifanta hii thread ichafuke sasaiv
 
Mpk saa kadhaa zilizopita simu za familia 22 zimesaini kuwa wanapiga simu za wapendwa wao zaita bila kupokelewa, so huenda bado wapo salama kwenye eneo ambapo signals za cellphone zafika
 
Mmh labda lakini kwa nationalities walizo display hakuna mtu wa tz!

Hakukuwa na mtanzania, hayo mambo ya kuficha majina au asili ya wahanga yako huko bongo tu nchi ambayo inaamini kwenye uongo, wizi na ujanjaujanja wa kila kitu
 
This is rubbish about Joshua, utabiri gani usio na manufaa? Its meaningless kutabiri wkt hatoi means ya kuokoa

Means ya Kuokoa anatoaga kwa kusema tuombe na kuitaadharisha nchi husika mfano ile ya marekani ya olompiki alisema kabsa serikali ya marekani iimarishe ulinzi na hii ya ndege pia aliitaadharisha nchi ya malaysia na wahusika wanaangalie ndege zao kabla hawajaanza safari.....lakini sasa isingetokea watu wangesema nabii wa uongo mbona hakijatokea
 
Mpk saa kadhaa zilizopita simu za familia 22 zimesaini kuwa wanapiga simu za wapendwa wao zaita bila kupokelewa, so huenda bado wapo salama kwenye eneo ambapo signals za cellphone zafika
Duh! Hii ni kiboko, hii maana yake huenda ndege imeanguka nchi kavu na baadhi ya simu zilikuwa na zimebaki kuwa hewani japo wahusika watakuwa..... By the way mkuu Jerrymsigwa unafuatilia kwa karibu sana janga hili. Hongera sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom