Hii ya Juma Pinto Inatisha


Hao ndio somaiya group,,, ndio wamiliki wa shivacom, pia waliinunua ultimate security,,,unashangaa hiyo ferari, ,, nenda pale yatch club msasani ukaone wana boti inaelea pale inasubiri w'end wakale bata baharini,,, thamani ya hiyo boti unajenga maghorofa kadhaa mjini!!!!
 
Mkuu pole sana, ninacho kushauri siku nyingine ufumbe macho ili usione kila kitu kinachofanywa hapa nyumbani,unaweza kufa kwa kihoro. We hayaa weee.

na zaidi walishtuka umewaona kucha zako halali yao.
 

ni mwenyekiti wa kamati ya miss tanzania kachukua nafasi ya hashim lundenga
 
Yaani jamaa hakukaguliwa, hivi huyu si ndio mmiliki wa City Sports Lounge?
 
Nani kakuambia mateja wana muda wa kujisavia shingo ya kizazi wakati starehe yao ni hiyo sukari laini tu dada yangu.
Na nguvu ya kufanya shughuli hiyo anaitoa wapi kama ulimuona Chid ndio utaelewa vizuri.

Kwa hiyo seriakali mupya ya Mh.Magu imemuweka kwa bodi ya utalii? Au iliyopita? ?
 

Kumbe pale Warwick jamaa aliboil??
 
"Jamaa yangu" yule amesemwa sana kuhusu ufisadi, mara richmond, mara afya yake!, hiyo 2015, ndie yeye sasa atakayekuwa, na watu humu watafunga midomo!.

Pasco.

Nadhani Team UKAWA mmepasoma hapa
 
hawa wauza unga mbona hawafanywi chochote kazi kutuharbia vijana
 
Vijana wa TISS hawakuwepo wakati huo au hawakuona huo mchezo.
 
Alikuwa Rais wa TASWA lakini kuna fununu kwamba nae huuza ngada
 
Hahahahahahaaa wewe uchizi ulianza zamani sana.
cc Sumah Mbimbinho UncleBen Mussolin5
 
Unga noma namkumbuka Juma Pinto tuko pale DIT tunasoma wanakuja kufanya mazoezi na timu yao ya TASWA wamechoka yeye na kitenge wanagongea nauli kwa wanafunzi kurudi majumbani kwao mbagala leo unga umempa diplomatic status?
Walikuwa wakiishi Temeke siyo Mbagala
 
Mhh,hiyo kauli ya JK ya ukitaka kula nawe uliwe kidogo inanifanya niwaze mengi,ukizingatia na huyo jp alivyokuwa na shavu dodo na kindeki cha kiushkaji kwa nyuma
 
Na
nakukubali mno,sijawai kukuona ukitoka nje ya mstari tangu nikujue.Nyie ndio uzao wa Marehemu Ng'wanakilala,keep the spirit maaan.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…