Hii ya Juma Pinto Inatisha

Kwanza tuambie tukio lilitokea lini ili tutafute records za kusafir kwa jana at the material day, pili hujasema alikuwa anaenda wapi? Hapo unaweza kuwa umesaidia wana usalama hata kujua jamaa aliwasiliana na nani siku hyo nk. Otherwise wise andiko lako linaweza kuwa aina flani hivi ya majungu na hakuna atakaye kuamini
 
Well said Mayalla
Wewe ni mpiganaji na jasiri Mwl Nyerere aliwahi kusema hakuna umasikini mbaya duniani kama umasikini wa mawazo ukiwa na fikira sahahi na mawazo sahihi na maamuzi sahihi na kutenda wakati sahihi hakuna linaloshindikana
 
kwa jinsi unavyotirirka,utamtaja na Magufuli tu.
Kwa Mujibu wa Makonda,urodha yake haikutoka mbinguni,ni wenyewe kwa wenyewe wanatajana,yeye anafanya uchunguzi wa awali kabisa,ndio anaamuru ufike kituoni.Hawezi kurukia watu tu hovyo

Huna unacho kijua. Ni hila za kisiasa na mapenzi tu. Afanyie kazi hiyo list sio kuumizana vichwa na kujipatia umaarufu bure.
 
Huna unacho kijua. Ni hila za kisiasa na mapenzi tu. Afanyie kazi hiyo list sio kuumizana vichwa na kujipatia umaarufu bure.
wewe umefanyia kazi listi ipi?kuongea nyuma ya keyboard huku ukiwa na jina feki ni rahisi sana,mmebakia kuhamisha magoli sasa
 
Weee yupo kama panya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MSD kuna nini mkuu? Nina ndugu yangu pale...
 
Leo umebwana hata lakuongea huna.
Unakurupuka akwambie nn wakat unaona hii thread ni ya tangu mwaka 2014. Aunasoma tu bila kufatilia
 
List ya makonda imekosa mashiko kwa kukosekana huyu jamboleo
 
Huyu Juma Pinto ujanja wake wote na mambo yake nyuma yake yupo the big boss Ridhiwan.. huyu alibeba sana mabox hadi aliporushiwa taulo akarudi bongo.. bila huyo big boss yy kapuku tu kama mimi na wewe... naishia hapa
 
Pinto inasemekana anaishi/amemuoa binti mmoja anajiita Queen Komanya - watu wa karibu na huyu mdada wanamtuhmu kufanya biashara ya sembe obviously akishirikiana na Pinto. Huyu Queen anae dada/mdogo wake yuko pale bandari anaishi kama malaika - yeye kila leo hubadilisha mikwanja ya nguvu. Yeye pia zipo tuhuma za kufanya biashara ya ngada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…