Hii picha inaongea nini?

Wewe unayejua hicho Kiingereza Fluently unafanya nini zaidi ya kutukana tu hapa?

Umefanya nini haswa kubadilisha taswira hiyo?

Una makelele mengi tu! yap yap all talk, lakini huna tiba. Huna alternative wala suluhisho.
You've problems, I don't know what's with you?
Hoja yangu niliyotoa imejikita kwenye ukweli na uhalisia. Kama wewe unaona hoja hiyo ina walakini au siyo ya kweli basi unayo haki ya kuipinga kwa hoja kinzani huku ukieleza sababu zako (argue with reasons) lakini siyo kufanya attacks kama ulivyofanya.
 
Kwani hawa wahitimu wa chuo mnaowasema huwa wanaishi wapi? Sio hawa tunaishi nao mtaani na wanaona uhalisia wa mambo?
Sifikirii kuna mhitimu anamaliza asijue mtaani kuna nini.
Wapo wengi sana hawaelewi au wanachukulia poa ule uhalisia wa mtaani. Yan wanachofikiria hakin uhalisia na mtaa ulivyo
 
Kiswahili kinafundishwa sehemu nyingi huko duniani ni swala la kupata exposure tu huyo utamuonea wivu.
Huwezi kufundisha Kiswahili ikiwa hujui Kingereza mkuu. Ndio maana wakenya wanafanikiwa kufundisha Kiswahili huko nje kuliko watanzania.

Hata watangazaji wa idhaa za Kiswahili kama vile BBC DW, etc lazima wawe na ufahamu wa kutosha wa Kingereza kwa sababu pia wanatakiwa kuripoti taarifa za BBC idhaa ya Kingereza.

Hali kadhalika ili ufundishe Kiswahili huko nje lazima ujue vizuri Kingereza. Na hiki ndicho kinachowakwamisha watanzania kwenye ajira za kufundisha Kiswahili nje ya nchi.

Nawasilisha.
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Nili-reply hili jibu hapo juu 👆 👆 👆 👆 👆 👆 kabla sijasoma comment yako hii. Umenifilisi.
 
Unasema picha inazungumza . Kwa fikra na mtazamo wako unaona hiyo picha inasema "Familia imetumia millions"?

...hebu tuambie, kinacho kuuma ni nini haswa? Eti unajali?
Mkuu naomba nisikujibu chochote.
 
Mimi huwa nina maoni tofauti sana
Sioni huruma hata kidogo kwa majitu majinga
Hayo makumi kwa maelfu acha yapigike sana
Hiyo elimu ingetumika ku challenge serikali kila kitu kingeenda sawa sana siyo ajira wala maendeleo yangekuwepo nchi hii
Ila kwa kuwa hamjaelimika basi pambaneni na hali zenu
 
Hii picha ni ya ukweli kabisa. Ukiangalia wale watoto wawili wa kulia na kushoto ni damu moja na huyu bwana. Sura zao na pua zao ni definitely watu wa uzao mmoja. So I believe hii picha ilipigwa na huyu kamanda mwenyewe akiwa amewa position hawa ndugu zake kwa kumbukumbu yake na wala siyo picha ya uongo. Wana resemble kabisa kabisa as relatives
 
Family high expectations
 
tuache Kulaum sana serikali Maisha ni sasa ndio tume loose muda chuo

Mm pia ni muhanga kabisa 3 years chuo na hio ya nyuma Alevel 2y lkn kwenye maisha ni Kuchagua sasa sis wengi tulipenda shule na kuwa na hope ya ajira

Hatukuwekeza kwenye ujuzi au vipaji hapa kuna baadh wanaweza laum wazaz walikua kikwazo sawa mm pia nakubali wazaz walikua hawataki kusikia unaenda uwanjan/studio lkn all this yamesha pita we are in the late 20s

Muda ulio potea huwa hauwez rudi sasa machaguo ni mawili Kufa maskini kabsa Au Ufe katika Mapambano au uache Legacy ya Utajiri

Ndoto Una design unaishi umo ..Unatakiwa Kujitoa Muhanga na Kumuomba Mungu

Pombe ,Lawama ,bangi na utapeli au kuwa shoga havina maana na huwez badiri maisha kabsa
 
Serikali inapaswa kulaumiwa tena sana kwa sababu ndiyo inatunga mitaala inayosababisha wahitimu wasijiajiri
 
Mwamba katuangusha, hakupaswa kurudi nyumbani after ku graduate, alipaswa apambane mwanzo mwisho mpaka arudi na mapesa na sio majoho.
 
Mwamba katuangusha, hakupaswa kurudi nyumbani after ku graduate, alipaswa apambane mwanzo mwisho mpaka arudi na mapesa na sio majoho.
Kweli kabisa mkuu. Kurudi kwake kumegeuka kuwa majonzi badala ya furaha kwa familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…