Quod Nocet Saepe Docet
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,944
- 17,279
Duniani wapi na nchi gani?Kiswahili kinafundishwa sehemu nyingi huko duniani ni swala la kupata exposure tu huyo utamuonea wivu.
Unasema picha inazungumza . Kwa fikra na mtazamo wako unaona hiyo picha inasema "Familia imetumia millions"?Yeah! Wewe fikiria familia imewekeza millions of money kwa ajili yako halafu unarudi nyumbani na joho tu bila ajira wala pesa. Inauma sana kwa kweli.
Wewe unayejua hicho Kiingereza Fluently unafanya nini zaidi ya kutukana tu hapa?Duniani wapi na nchi gani?
Kuhusu kufundisha Kiswahili ktk nchi za kigeni ambazo hazitumii Kiswahili kama lugha ya mawasiliano, wa-Tanzania wengi Wana mapungufu makubwa ya kuweza kuwa Walimu wa Kiswahili huko nje, kwa sababu Wana tatizo na uelewa wa kutosha (fluency) wa kuongea Lugha ya kufundishia, yaani Kiingereza (Most of Tanzanians are not fluent in Speaking and Writing in English language). Hiki ni kikwazo kikubwa sana kwa wa-Tanzania kupata ajira za Ualimu wa kufundisha Kiswahili huko nje ya nchi, that's why hata Serikali ya Afrika ya Kusini imetoa ajira za Walimu wa kufundisha Kiswahili nchini humo kwa walimu kutoka nchini Kenya, wala siyo kwa wa-Tanzania.
Picha ni Feki na Imechongwa kuvutia hisia za watu.Hii picha inaongea mambo mengi sana. Wazungu wanasema a picture speaks louder than words. Nikiiona hii picha nahudhunika mno, hasa kwa ajili ya vijana wa kitanzania wanaohitimu vyuoni makumi kwa maelfu kila mwaka.View attachment 2843100
Maisha ya kiafrika ni magumu sana. Unaweza ukute hata elimu yenyewe aliyoipata haiwezi kumpa uwezo wa kurudisha alichokitoa ama kubadilisha hayo maisha ya nyumbani kwao. Kibaya zaidi familia zetu pia zinaamini kuwa ukishapata degree basi wewe ndio tegemeo la ukoo , ndio maana vijana wengi huwa wanakimbia nyumbani.
Kwa msingi uliotumia tunaweza sema wewe unayo hiyo Degree inayoeleweka. Na ni kama tu, unayo! Umeitumia kufanya nini kuwakwamua vijana hapo mtaani kwako?Vijana wengine wanajisomea tu ilmradi wapate digrii wakidhani kitaeleweka mbele kwa mbele. Nawaona vijana wengi waliohitimu Bachelors za Education wapo vijiweni wanaendesha bodaboda.
Kusema kweli kuna haja ya serikali kubadili mtaala wa elimu na kuondoa masomo ya kipumbavu kama vile Kiswahili, Civics, History na masome mengine ya kipuuzi ili kuwapa wanafunzi nafasi ya kujikita kwenye masomo ya maana.
Sema wewe ndio uliopo motoni.nilikuwa napasikia tu motoni...ila amini nawaambia Motoni ni hapa Tanganyika...!
UkooDuh! Hukoo mzima unamwangalia akawakomboe! Alafu unaambiwa akajiajiri!
Usidanganye watu hapaWanasiasa wana dharau sana. Na utakuta nafasi chache zilizopo serikalini wanawapa watoto wao huku watoto wa masikini wakiendelea kulia na kusaga meno. Inauma sana.
Mbona nimesikia kuwa ualimu wa kiswahili siku hizi ni dili maana nchi zote jirani zinaanza kufundisha kiswahili?Hapo sasa. Sijui atajiajirije wakati mtaji wote ameuacha chuoni. Kuna kijana wetu mmoja tumemsomesha pale UDSM digrii ya BA Kiswahili. Baada ya kuhitimu akapata ajira ya kuolewa na kuzalishwa mtoto. Hadithi ikawa imeishia hapo.
Wewe fikiria familia yenyewe ya kimasikini tumejipinda kumsomesha kwa miaka yote 3 halafu ajira anayopata ni kuolewa kwa mahari ya Tsh laki 8. Na bado anadaiwa mkopo na serikali. Ama kweli jehanamu ni hapa hapa Tanganyika.
Wapumbavu sana hawa wazee wa ovyo."Vijana waache uvivu, wajiajiri"
Alisikika mzee mmoja alieajiriwa serikalini tokea mwaka 1965 mpaka sasa hajaacha ajira yake.
Shukuru angalau kaolewa na njemba kajipinda kutoa kifuta jasho! Wengine wanaishia kuzalishwa tu! Then single mother! Mbaya zaidi unaletews wajukuu hapo nyumbaniHapo sasa. Sijui atajiajirije wakati mtaji wote ameuacha chuoni. Kuna kijana wetu mmoja tumemsomesha pale UDSM digrii ya BA Kiswahili. Baada ya kuhitimu akapata ajira ya kuolewa na kuzalishwa mtoto. Hadithi ikawa imeishia hapo.
Wewe fikiria familia yenyewe ya kimasikini tumejipinda kumsomesha kwa miaka yote 3 halafu ajira anayopata ni kuolewa kwa mahari ya Tsh laki 8. Na bado anadaiwa mkopo na serikali. Ama kweli jehanamu ni hapa hapa Tanganyika.
Wee hujitambui! Hii picha inaonyesha hali halisi ya wahitimu wa vyuo vikuu! 💯 ndivyo ilivyo! Wengi watoka familia fukara na kurudi makwao wakiwa na majoho na cheti! Familia inakaa kushangaa "inakuaje sasa????"Picha ni Feki na Imechongwa kuvutia hisia za watu.
Picha ikishakuwa feki, basi na maudhui yake ni feki. This is a typical Misinformation. Ni taarifa ya uongo na ni potofu. Maudhui haya yamelenga kudhalilisha na kunyanyasa.
Tafakari
Kama kweli mmeleta picha hiyo kwa nia nzuri, kwanini msiweke Jina, Kijiji, au shule aliye hitimu na kupata shahada gani ili aweze kusaidiwa kupata ajira? Tafakari
Kwanini wengi wenu mnakandia tu?
Mkuu ni wapi nimetoa lawama?.mm nimeeleza hali halisi sijamlaumu yeyote.Wewe unaongea Kwa kutumia hisia wala sio akili
Je ninani kafanikiwa Kwa kusoma science na nani kashindwa Kwa kusoma arts ,kufanikiwa maisha kuna involve mambo mengi Sana. Ni mtu mjinga pekee anaweza kutoa lawama Kama hizo.
Kwanza tu, huna uwezo wakijutambua mwenyewe unawezaje kudai kuwa sijitambui...Wee hujitambui! Hii picha inaonyesha hali halisi ya wahitimu wa vyuo vikuu! 💯 ndivyo ilivyo! Wengi watoka familia fukara na kurudi makwao wakiwa na majoho na cheti! Familia inakaa kushangaa "inakuaje sasa????"
Kwani hawa wahitimu wa chuo mnaowasema huwa wanaishi wapi? Sio hawa tunaishi nao mtaani na wanaona uhalisia wa mambo?Katika kipindi hiki cha graduation kwenye taasisi nyingi za elimu nadhani ni wakati wahitimu na wahitimu watarajiwa wajiweke sawa kifikra wajue kabisa wanapomaliza wajue jamii ya mtaani si lelemama. Wanapokuja huku wasije na mentality za kichuo huku maisha ni mkanda ukilegeza unaadhirika. Kila la kheri kwa wote
Nayachukiaga sana to the maximum "mazee" ya hivyo."Vijana waache uvivu, wajiajiri"
Alisikika mzee mmoja alieajiriwa serikalini tokea mwaka 1965 mpaka sasa hajaacha ajira yake.