Hii ni kwenu wasichana

Hii ni kwenu wasichana

Shida ya wanawake.. wanashindwa kuwasoma wanaume. Wanadhani wanavyowaza wao.. ndio tunavyo waza sisi... kumbe ni kinyume kabisa.... wanajikuta wanaishia kulalamika kutwa nzima.. mara wananune... inakera.. sometimes..
Shida ya wanaume wanadhindwa kuwasoma wanawake, sanadhani wanavyowaza wao ndivyo tunavyowaza sisi, kumbe ni kinyume kabisa,wanajikuta wanaishia tu kuwaumiza wanawake wanaowapenda kwa dhati.
 
ada31268edf49b8a9428ec27add40914.jpg
Hahaha jamaa ni kauzu duuh
 
Ha ha ha nimefurahi ulivyozuga eti " ninapata malalamiko". Nahisi yamekukuta, but there is a substance in your thread
Kweli mkuu ni malalamiko, sema tu haiwezekani kuweka msg za Pm
 
Kumbeeeee ndo maana wanawake wanawapenda mashamba boy???? Maskini mdada wa watu ana stress hana wa kumwambia mme busy, mdada karudi jikoni/kutoka nje kakutana na shamba boy anauliza "samahani mama neema mbona huna kimya hivyo? Kuna shida yoyote?" ahaaa

anyway siungi mkono sms/calls ambazo sio za msingi lakini inabidi pale mtu umetoka kazini kuwa na mda na mkeo

wanaume wengine hamko romantic ndo maana mnalalamika

mfano gf wako kakutumia sms asubuhi "morning baby" mchana kakukaribisha chakula na kukuuliza kama umekula, jion kakujulia hali kama umeshatoka kazini, wajameni hapa kuna shida??

Kumjua mwanaume inahitaji akili ya ziada.
Wanume bwana!! Akipata mwanamke anaempotezea atalalamika na kudai anachepuka! Akipata anaemjali napo analalamika na kuona usumbufu, kwakweli hawajui ni nini wanataka hawa viumbe!!!
 
Hasa pale kichwa kinapokuwa kinachemka na kuhitaji utulivu alafu mtu anakuletea mahaba ya karaha... Ni kama anazingua fulani hivi...

cc: Kasinde
Hawajui tu jinsi mood zetu zilivyo.. Ila kuna nyakati akili inakuwa mbali na haiitaji usumbufu, na ndo hapo hapo utakuta wanaanzisha ugomvi
 
Oooh kumbe inawahusu wasichana!!

Na nyie wavulana sasa kama mnahitaji space si muwe peke yenu ili muwe na space ya kutosheleza kabisa uweke hata semi. Siku na hao wasichana watakapohitaji space msije tu mkalalamika.
Hayo sasa mapenzi ya ushindani, na kati ya vitu ambavyo wanaume tunavichukia basi ni pale mwanamke anapojaribu kushindana na sisi... Yani wanawake wa skuizi sijui mkoje yani
 
Hayo sasa mapenzi ya ushindani, na kati ya vitu ambavyo wanaume tunavichukia basi ni pale mwanamke anapojaribu kushindana na sisi... Yani wanawake wa skuizi sijui mkoje yani
Si huwa mnahisi wanawake wao hisia zao ni kuzisucrifice kwenu tu na waishi vile mtakavyo nyie!! Basi siku nae akihitaji space kuwa tu mpole na umpe hiyo space aitakayo. Sio mashindano,inaitwa kujipa space.
 
Wa hivi wapo ila mazingira utakayomuwekea lazima yambadilishe,yaan akiona unampenda sana anabadilika ghafla anakua jeuri sababu unampenda na anaamin huna ubavu wa kumuacha.

Limbwata linakuja pale unapochoka vituko vyake na kutaka kumpotezea ndipo anahaha kukurudisha kwa njia yoyote.
Aisee umeshanipa tekniki nzuri sana
 
Si huwa mnahisi wanawake wao hisia zao ni kuzisucrifice kwenu tu na waishi vile mtakavyo nyie!! Basi siku nae akihitaji space kuwa tu mpole na umpe hiyo space aitakayo. Sio mashindano,inaitwa kujipa space.
Mpaka anafikia stage ya kujifananisha namimi na kunipanda kichwani namna hiyo mimi nitakuwa namuangalia tu? Labda tumezaliwa tumbo moja hahaha... Wanaume hatupendagi stress tunataka mwanamke mtulivu, ova
 
Yaani wewe ukihitaji space ni sawa ila mwenzio akihitaji basi kakupanda kichwani!! Selfish creatures.
Mkaege peke yenu basi kama hamtaki stress, nani anahitaji stress kwani?
 
Hawajui tu jinsi mood zetu zilivyo.. Ila kuna nyakati akili inakuwa mbali na haiitaji usumbufu, na ndo hapo hapo utakuta wanaanzisha ugomvi

Mwanamke na ugomvi au maneno ya karaha ni kawaida sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom