Hii ni kwenu wasichana

Hii ni kwenu wasichana

Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza

Hahaha... ivi wanawake wa namna hiyo bado wapo??? Kama yupo nataka niweke booking
 
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Msiwe mechanical sana wakati mwingine!
Kama mkeo anasumbuliwa kazini ni nani wa kimfariji sasa? Do you real love and care your wife? Mchana wote ulikiwa kazini au kwwnye mitikasi yako. Umerudi badala ya kukaa na kuongea na watoto na mkeo uko busy na mpira. Kichwa maji hicho!
Halafu akipata mtu mwenye uwezo wa kumfariji na akamtindua unalalamika!!!
Badilikeni wabongo achana na mambo ya kizamani!
Sizungumzii mabinti wa mtaani wa baby baby sijui! Mkeo, be serious man! Unataka akamwwleze nani shida zake sasa?
 
Hii mada imenigusa mimi baby wangu nimempa likizo saiz nina siku kama 6 sijaongeana nae na I don't care . Too much love yanini ilhali hii ni Tanzania jua kali mno we need space la sivyo end of year inafika upo ndani tu no time for friends ye anataka ajue unachat na nani upo na nani salsa me ni mwanaume bana huezi nichunga better we break up ila sio love kama nipo inoove na mtoto koplo wa magereza
 
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Mpeleke movie Afu huko huko unamwambia "babe I'm sorry I didn't mean to upset you" utaona atakavyotabasamu
 
Kama mkeo anasumbuliwa kazini ni nani wa kimfariji sasa?

Wapi nimesema alikuwa anasumbuliwa?

Do you real love and care your wife?

Ndio nampenda

Mchana wote ulikiwa kazini au kwwnye mitikasi yako. Umerudi badala ya kukaa na kuongea na watoto na mkeo uko busy na mpira.
Mkuu inaonekana unanijua vizuri mpaka ukaweza kujua ratiba yangu ya siku hiyo ilikuwaje..Na huko kwenu mechi uwa inachezwa dakika 1000 nn?

Halafu akipata mtu mwenye uwezo wa kumfariji na akamtindua unalalamika!!!

Hiyo ndo hofu yako..Hapa naona unapuyanga tu mkuu

Badilikeni wabongo achana na mambo ya kizamani!
Mambo ya kizamnai ndo yapi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom